Daresalama Lyrics
Daresalama Lyrics by YOUNG DEE
I'm looking so boujee
Ila kwa ukweli nishaupambaya
My life is like a movie yenye ngumi ile mbaya
Ninapete ye gold naweza kuvunja shaya
Kuna dem cuppuccino ambaye tu mala**
Ukinipa bill naipiga kama John Cena
Ile kimtaani mtaani hata hope sina
Umeleta utani mwenzio hata akili sina
Kwani kitu gani mi nazima mpaka jiji zima
Vitu kibao kichwani kama nina uzimu
Jinsi navyo rap na vocals wanaingizia jimu
Bro hujui hata kunyonga alafu navusha steam
Nitakupa namba alafu ukipiga nikukatie simu
Wangapi wana maswali nimekuja na majibu
Nimetoka mbali hadi napokwenda nahisi ni karibu
Sometimes namind manguli wanavyonijaribu
Ila kumbe wanamind zaidi vile huwa siwajibu
Ni paka rapper rapper anayewatesa watu wazima
Toa hizo takataka za watoto wanaotaka kupima
Toka chaka tuna charter la dunia mzima
Hawajui mi ndo baba nao watoto wananikosea heshima
Eeeh, kesha jana yangu nipe tambara
Aaah, nakuoza zetu makachara
Da Da, Daresalama
Da Da, Daresalama
Da Da, Daresalama
Da Da, Daresalama
Leo ni leo sio kitoto kidingi
Leta nyama hivi vyombo ni vingi
Kama ligi weka moto baridi
Afu zikizidi ni kwenda kuchiti
Aah unamtaka nani?
Badman Daresalama here we go
Si tunataka money
Tutazisaka kokote ziliko
Wapi Gigy? Leta papa
Basi mimi hio bill leta hapa
Nani? Weka sign paka rapa
Weka sign DSM weka sign
Anataka kuja DSM kasha check out leo Dubai
After kwanza January anataka achill hadi July
Ni paka rapper rapper anayewatesa watu wazima
Toa hizo takataka za watoto wanaotaka kupima
Toka chaka tuna charter la dunia mzima
Hawajui mi ndo baba nao watoto wananikosea heshima
Eeeh, kesha jana yangu nipe tambara
Aaah, nakuoza zetu makachara
Da Da, Daresalama
Da Da, Daresalama
Da Da, Daresalama
Da Da, Daresalama
Aah unamtaka nani?
Badman Daresalama here we go
Si tunataka money
Tutazisaka kokote ziliko
Da Da, Daresalama
Da Da, Daresalama
Da Da, Daresalama
Da Da, Daresalama
Watch Video
About Daresalama
More lyrics from Daresalama (EP) album
More YOUNG DEE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl