Sio Poa Lyrics

Y PRINCE Tanzanie | Afropop, Folk

Sio Poa Lyrics


Hmmmmm…
Mama hoi tabani yani hajiwezi
Kwenda shule sitamani nguo kama chizi
Mazao hakuna shambani masika kiangazi aaah aaaahh
Ona tunaishi nakula kwa mgomo (ni bara )
Japo wananipa moyo nisijali  huuuumm
Tuna madeni afadhali ya jana (ya jana aah)
Shamba linatafutiwa madalali (yele yele)

Aaaaaaah  aaaah... Sio poa
Aaaaaaah  aaaah... Sio poa
Aaaaaaah  aaaah...  Sio poa
Aaaaaaah  aaaah... Sio poa

Tushakesha si na Godi
 Kwa visomo na nyingi dua
 Habari ngi zangelazi
Nasi tupate kupumua
Ye Baba bize na konyagi
Kila siku analewa
Hapataki ata nyumbani
Ameitenga familia aah

Namuoanea huruma mama aaah
Japo sina lakufanya
Namuonea huruma mama
Ila sina lakufanya

Aaaaaaah  aaaah... Sio poa
Aaaaaaah  aaaah... Sio poa
Aaaaaaah  aaaah...  Sio poa
Aaaaaaah  aaaah... Sio poa


Sio poa. Sio poa
Sio poa. Namuonea huruma mama
Sio poa

 

Leave a Comment