Nakupenda Lyrics
Nakupenda Lyrics by ELJA EKS
Yeah, yeah yeah yeah hmm
Elja hmm
Yango tchay yango biich (yango tchay yango biich)
Kila nikiona macho yako hoo
Nasikia moyo wangu unasema (yeah)
Kila nikiona sula yako hooo
Nasikia moyo wangu unasema haa
Hee mama we yeah
Siku zote mi ninge penda kuwa na we
Ila moyo wangu siwezi kukuambia
Kisa nahofia kukupoteza
Urafiki wetu mama muhimu kwangu
Mama wewe haa yeah
Kila nikiona macho yako
Nasikia moyo wangu unasema ha! (a)
Kila nikiona sula yako hoo
Nasikia moyo wangu unasema haa
Hoo
Nakupenda
Mi nakupenda
Ho nakupenda
Yeah nakupenda
Mi nakupenda
Ho nakupenda
Mi nakupenda
Ho nakupenda
Nikiona macho yako
Nakosa pumzi ya kuwema
Nakupenda jinsi sijawahi penda
Facebook insta sijawahi kuona kama wewe
We ndo furaha yangu
Maisha yangu bila wewe hayana maana
Ila moyo wangu siwezi kukuambia kisa nahofia ma
Kila nikiona sula yako hoo
Nasikia moyo wangu unasema (a)
Kila nikiona macho yako
Nasikia moyo wangu unasema haa! Ha
Nakupenda
Ho nakupenda
Mi nakupenda ma! Ha
Nakupenda
Mi nakupenda
Ho nakupenda ayekupenda
Huwezi kukuambia
Kwa sababu anaogopa kukupoteza ma
Ila nikiona macho yako
Nakosa na pumzi mama ha! Nakosa mi
Ho nakosa mi! Hi
Kila nikiona ma ha nakupenda
Kila nikiona ma yeah nakupenda
Kila nikiona ma ma ho nakupenda
Kila nikiona ma ma macho yako
Mi nakupenda
Hoo nakupenda
Yeah nakupenda
Mimi nakupenda
Haa nakupenda
Yeah nakupenda
Yeah nakupenda
Nakupenda mama
Watch Video
About Nakupenda
More ELJA EKS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl