Waubani Lyrics
Waubani Lyrics by KASSIM MGANGA
Ayaaaah
Manzabay Bombay
Tangaaa
Walisema hatuendani nani
Hawajui ya ndani
Ni ndio wake funny
Wakasema simuweki ndani
Wakala yamini, haiwezekani
Pendo pendo kanidilika
Kaliziba pengo nachekaaa
Natafutana namung’unya nala tunda na maganda
Tulivyo, kama mapacha
Twafanana mpaka kucha
Tulivyo, kama mapacha
Twafanana, hadi raha
Waubani waubani waubani
Waubani waubani waubani
Waubani waubani waubani
Waubani waubani waubani
Wakatabiri tutaachana
Kwa mashairi kutusema
Taayuri hugeuka shonde
Wametaayari nafunika kombe
Macho nimechutuma sipepesi simuliki
Jicho lakutazama usilitie kijiti
Natafutana namung’unya hala tunda na maganda
Tulivyo, kama mapacha
Twafanana mpaka kucha
Tulivyo, kama mapacha
Twafanana, hadi raha
Waubani waubani waubani
Waubani waubani waubani
Waubani waubani waubani
Waubani waubani waubani
Watch Video
About Waubani
More KASSIM MGANGA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl