Ruka Lyrics

WYRE Feat YOUNG COURAGEOUS & JANVIER Kenya | Genge, Gengeton

Ruka Lyrics


Yeah, combination Janvier, YC
And Love Child pon di case

Mabibi na mabwana kameshika nare
Kajaba tumeshika hakuna bare
Na kama unapinga muulize Wyre
Mziki tunapiga utaskiza zaidi

Wow, kila msee ako haire
Leo basi ni kuparty
Washakubali kina Mvaite
Na kama hauna mresh basi meza mate

Sisi tuko sete
Sisi tunafanya tu kidete
Leo tuko teke
Buda ni mapema usisepe

Mmmh tobina tobina mama
Tobina maboko likolo
Sakata kiuno jirushe ujiachie

Leo ni party sakata madina
Cheza ndombolo ya solo
Kila chali na cherie wake
Leo mpaka kesho

Nyoosha mikono mweke juu, juu
Selekta ongeza, keep it rolling everywhere
Nyoosha mikono mweke juu, juu
Fulla good vibes kuna hepi everywhere

Ruka(ruka), ruka(ruka)
Ruka, ruka ruka
Kwenye floor wameshuka
Shuka(shuka),Shuka(shuka), shuka shuka shuka

---
---

Nyoosha mikono mweke juu, juu
Selekta ongeza, keep it rolling everywhere
Nyoosha mikono mweke juu, juu
Fulla good vibes kuna hepi everywhere

Ruka(ruka), ruka(ruka)
Ruka, ruka ruka
Kwenye floor wameshuka
Shuka(shuka),Shuka(shuka), shuka shuka shuka

Mabibi na mabwana kameshika nare
Kajaba tumeshika hakuna bare
Na kama unapinga muulize Wyre
Mziki tunapiga utaskiza zaidi

Wow, kila msee ako haire
Leo basi ni kuparty
Washakubali kina Mvaite
Na kama hauna mresh basi meza mate

Sisi tuko sete
Sisi tunafanya tu kidete
Leo tuko teke
Buda ni mapema usisepe

Mmmh tobina tobina mama
Tobina maboko likolo
Sakata kiuno jirushe ujiachie

Leo ni party sakata madina
Cheza ndombolo ya solo
Kila chali na cherie wake
Leo mpaka kesho

Nyoosha mikono mweke juu, juu
Selekta ongeza, keep it rolling everywhere
Nyoosha mikono mweke juu, juu
Fulla good vibes kuna hepi everywhere

Ruka(ruka), ruka(ruka)
Ruka, ruka ruka
Kwenye floor wameshuka
Shuka(shuka),Shuka(shuka), shuka shuka shuka

Leave a Comment