Situation Lyrics
Situation Lyrics by CALVO MISTARI
Hapa kuna situation baby you the one to blame
Na kama namba haiwezekani basi niachie na your name
Hapa kuna situation baby you the one to blame
Na kama namba haiwezekani basi niachie na your name
Yaani ushanidrink ile design ya liqour
Nacheki una class na kadhalika
Unatuma mixed signal mamacita
Na vile nimetupa lugha ka wahenga sita
Slow down baby girl polepole
Naiboi mi hapana Shabadoo, Shabadoo
Nakuta you
Slow down baby girl polepole
Naiboi mi hapana Shabadoo, Shabadoo
Nakuyanza you
Ona ananitenda
Siwezi toka hapa bila kusema
Ona ananitenda
Siwezi toka hapa bila kusema ey
Oh when I call you baby
Love it when you dance to reggae
Oh when I call you baby
Love it when you dance to reggae
Hapa kuna situation baby you the one to blame
Na kama namba haiwezekani basi niachie na your name
Hapa kuna situation baby you the one to blame
Na kama namba haiwezekani basi niachie na your name
Okay 072727272
They call me Calvo I wanna call you baby boo
They say imma bad boy, Imma be all over you
Lakini we unajua bwana, mi ni msee mtrue baby
Napenda pause hio haga bana
Unadai strokes mi hupenda sana
Unadai form mi hucheza bana
Ukidai left right mi huvibrate sana
Swaga mama umenibamba mama
Tuliza nare leo utapiga zamani
We ukishuka huko chini mi napanda
Zunguka sasa naona unadai mate mama
Mwaaah!
Saa zingine mi ni canibal
Manukato twende carnival
Yeah leo ninalala ndani ma
Calvo Mistari tuko ndani --
Ona ananitenda
Siwezi toka hapa bila kusema
Ona ananitenda
Siwezi toka hapa bila kusema ey
Oh when I call you baby
Love it when you dance to reggae
Oh when I call you baby
Love it when you dance to reggae
Hapa kuna situation baby you the one to blame
Na kama namba haiwezekani basi niachie na your name
Hapa kuna situation baby you the one to blame
Na kama namba haiwezekani basi niachie na your name
Watch Video
About Situation
More CALVO MISTARI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl