Mi Bila Wewe Lyrics
Mi Bila Wewe Lyrics by WYRE
I need the loving
I need the loving everyday aah
Lion, me bila wewe sina mahaba tele
Ni shida kuendelea mbele
Sina amani kwa moyo, mi bila wewe
Me bila wewe sina mahaba tele
Ni shida kuendelea mbele
Sina amani kwa moyo, mi bila wewe
Umekwama mawazoni mwangu
Moyoni mwangu utabaki hautoki
Natetetema nikijua uso wako
Utanipa upeo wa furaha
Me bila wewe sina mahaba tele
Ni shida kuendelea mbele
Sina amani kwa moyo, mi bila wewe
Me bila wewe sina mahaba tele
Ni shida kuendelea mbele
Sina amani kwa moyo, mi bila wewe
You know a lion can't live without a lioness
A fire can't start without a little spark yes
Me can't imagine any possibility
Without you inna mi life
Nobody try fitting coz about the rest
You know that you are the only one
The only one am yeaning for
Mpenzi usiende mbali
Baki uwe kando nami
Me bila wewe sina mahaba tele
Ni shida kuendelea mbele
Sina amani kwa moyo, mi bila wewe
Me bila wewe sina mahaba tele
Ni shida kuendelea mbele
Sina amani kwa moyo, mi bila wewe
Umo kamwe mawazoni mwangu
Moyoni mwangu utabaki hautoki
Natetema nikijua uso wako
Utanipea upeo wa furaha
You know a lion can't live without a lioness
A fire can't start without a little spark yes
Me can't imagine any possibility
Without you inna mi life
Nobody try fitting coz about the rest
Me bila wewe sina mahaba tele
Mi bila wewe
Me bila wewe sina mahaba tele
Mi bila wewe
Watch Video
About Mi Bila Wewe
More WYRE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl