Vile Inafaa Lyrics
Vile Inafaa Lyrics by MUTHONI DRUMMER QUEEN
Muthoni Drummer Queen. . .
Octopizzo number nane. . . .
Dillie!
Hello Hello, Kumbe huku ni matanga
Itabidi wasanii waanze kujipanga
Drummer queen octopizzo, ni upanga
Tunakata shingo leo hakuna ujanja
Legooo
YGB I black out like Eminem,
Namba nane I stand out coz I'm in the fame,Don't shout, I'm in the game,
Grain ka silos lines ka grain,
Heavy weight ka kilos, but on air ka plane,
Cadburys ka milo na na-run through veins,
Juu, rap bila mi ni ka jungle bila simba,
Monthly nikiflow ka dem bila mimba.
Miti ni dawa baby uliza Loliondo,
*Eff duffel bag mi hu-roll na kiondo,
The rap rebel, punguza base eka treble,
Maindi ndio staple, ugali juu ya table,
Long live the King niko connected kama cable,
Young Gifted and Black ka eight ball kwa pool table,
Too many men, not enough balls
Namba nane baby I got. . eight balls!!
On and,
On till early morning,
This is how we're rollin',
Uptown downtown callin',
Vile Inafaa!
On and,
On till early morning,
This is how we're rollin',
Uptown downtown callin',
Vile Inafaa!
Wanadhani ngoma poa ati ndio wajibambe,
Kumbe ndio kupatia msoto notice ini hame,
Kumbe bora kuflow hata kama mi ka-barbie,
Kuchanganya ma accent kama mimi mlami,
Na uki-measure flow kama day mi ni ngware,
Kupiga marhymes boka kama fundi wa mawe quarry,
Aih... bauss lady,
Eh... si usare,
Haiezi mpaka mtambue nani ni mkare,
Nilikua na haraka, so nikatoka jana,
By the time ulinotice, ilikuwa already mchana,
Sai uko kwenye traffic bumper to bumper,
Ati "jam nakam"...ati "jam nakam",
By the time ukifika itakuwa too late,
Nilishajaza show from the front to the gate,
A rapper drummer singer I already sealed your fate,
If I was you I would leave the game at this rate, Ha!
On and,
On till early morning,
This is how we're rollin',
Uptown downtown callin',
Vile Inafaa!
On and,
On till early morning,
This is how we're rollin',
Uptown downtown callin',
Vile Inafaa!
'M the man with the base bro, uliza Sony,
Madem nawakulisha pembe then nawaacha so horny,
Wengine wako njaa
Watch Video
About Vile Inafaa
More MUTHONI DRUMMER QUEEN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl