WAHENGA Nilikufanyia? cover image

Nilikufanyia? Lyrics

Nilikufanyia? Lyrics by WAHENGA


Ilikuwa love at first sight before iturn blind
Ilikuwa pillow face na chocolate
Before that first fight
She was my ride or die manze before ajue kudrive
It was rainbows and conies sai kila kitu black and white

Love ilikuwa raw yaani straight from the hood
Hii love ilitoka kwa roho, truth yetu ilikuwa nude
Good night ilikuwa penda wewe si unatambua za mahuru
Kila Sunday naye reggea pale Space na manduru

Ma barley kadhaa siku hizi nachapanisha chang'aa
Mamanzi wa bar siku hizi nawamanganisha in turns
Mangale na burn mapacko sita sita on my side
Cheki nguo flani najama hio ndio alikuwa anadunga kejani

She broke my heart meza flani na basin kadhaa
Mi ni fala chizi nikijam na daggar karibu nimstab
Ju ya makali na jaba zishalipuka kabisa 
Jibiwa swali moja nataka, nani huyo anakuita my love?

(Nilikufanyia? Nilikufanyia nini?)
(Ulichoka tu na mimi, mbona hukuniambia from the start?
(Nilikuchokeshaje? All I ever did is love you)

If love is a journey nilikuwa willing to pay the fare
They say love is for the blind so let them still stare
Nikawachocha you are heaven sent, heaven sent, heaven air
Na shoe ilifit nice nikadhani we are a pair 
Kumbe penzi ni blind, ni blind aah very true
Sai niko class experience na the teacher is very rude
Nilibet love in mind with your shape and curvy boobs
And I gave you half of mine sa mi ndio the fool

Kamende uko una chill, uko kila chuom 
Masembe hukuwa unadish ni mapizza tu
Ati nikwende hivo ndo ship ilizama tu
Matembe hadi mapills nikaziazanga tu 

My friends dem hadi my kins nikawatenga tu
Wakwende hawa washee nitajimada au
Niwatende hadi wafeel nina unyama tu
Kaswendee na ilianza na kiss sasa anaugua tu

Watch Video

About Nilikufanyia?

Album : Nilikufanyia?
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 26 , 2020

More WAHENGA Lyrics

WAHENGA
WAHENGA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl