You never Know by WILLY PAUL Lyrics

Nasema leo umelemewa
Lakini kesho you never know
Nasema leo umekosa mlo
Lakini kesho you never know
Nasema leo umelemewa
Lakini kesho you never know
Nasema leo umekosa mlo
Lakini kesho you never know
You never know, you never know, you never know, you never know
Eeh! Ooh! Eeh!
Usijitie kitanzi bado muda upo uuh!
Na bwana yupo ywakuangazia mienendo yako
Matatizo ni mengi yamejaa maishani
Mawazo ya kwako ni kupagawa
Usipagawe no! No! No! No! No!
Usipagawe yeeh!
Huenda leo umekosa mlo
Huenda leo wewe kangonjeka
Familia nayo imejitenga
Jitenga na we eweh!
Ukijizatiti na kujiamini kwake mwenyezi
Yatakuwa shware eeh!
Yatakuwa shware kukukuu!
Nasema leo umelemwa
Lakini kesho you never know
Nasema leo umekosa mlo
Lakini kesho you never know
Nasema leo umelemewa
Lakini kesho you never know
Nasema leo umekosa mlo
Lakini kesho you never know
You never know, you never know, you never know, you never know
Eeh! Ooh! Eeh!
Mm kwako tabu na njaa, shindwa utafanya nini hakuna
Na busara ya wahenga
Ni kila mtu hupata raha
Mmoja ni mmoja aah!
Atakaye mamini yeye
Atakuwa shware
Simubanju we
Anakupenda we eeh!
Anakujali we
Nasema leo umelemewa
Lakini kesho you never know
Nasema leo umekosa mlo
Lakini kesho you never know
Nasema leo umelemewa
Lakini kesho you never know
Nasema leo umekosa mlo
Lakini kesho you never know
You never know, You never know, You never know, you never know
Eeh! Ooh! Eeh!
You never know, you never know, you never know
You never know

Music Video
About this Song
Album : You never Know (Single),
Release Year : 2013
Copyright : ©2013
Added By:
Published: Feb 12,2020
More Lyrics By WILLY PAUL
Comments ( 0 )
No Comments
Leave a comment
Top Lyrics


You May also Like


Download Mobile App

© 2020, New Africa Media Sarl

Follow Afrika Lyrics