Tabiri Lyrics
Tabiri Lyrics by JOYCE OMONDI
Kabla nione
Nitatabiri
Kabla utende
Nitaamini
We waweza
We waweza
We watosha bwana wangu
We watosha
Basi mifupa kavu
Ishi, simama
Sima tazama
Uwezo wa bwana
Mifupa kavu
Ishi, simama
Simama tazama
Uwezo wa bwana
Kabla nione
Nitatabiri
Kabla utende
Nitaamini
We waweza
We waweza
Basi mifupa kavu
Ishi, simama
Simama tazama
Uwezo wa bwana
Mifupa kavu
Ishi, simama tazama
Uwezo wa bwana
Mifupa kavu
Ishi, simama tazama
Uwezo wa bwana
Mifupa kavu
Ishi, simama tazama
Uwezo wa bwana
Nitatabiri
Nitasimama
Niwe ushuhuda wa wema wako
Dunia yote naitazame ushindi wako bwana
Nitatabiri
Nitasimama
Niwe ushuhuda wa wema wako
Dunia yote naitazame ushindi wako bwana
Basi mifupa kavu
Ishi, simama tazama
Uwezo wa bwana
Mifupa kavu
Ishi, simama tazama
Uwezo wa bwana
Mifupa kavu
Ishi, simama tazama
Uwezo wa bwana
Mifupa kavu
Ishi, simama tazama
Uwezo wa bwana
Kabla nione
Nitatabiri
Kabla utende
Nitaamini Baba
We waweza
We waweza
Nakuamini
We watosha
We watosha Baba
Waweza
Waweza
Waweza
Watch Video
About Tabiri
More JOYCE OMONDI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl