Take It Slow by WILLY PAUL Lyrics

I'm sorry, naomba msamaha kwa mwenyezi
I'm sorry
Baby, najua kweli unataka, hata nami at some point huanga nataka. 
But niko na Baba ndani ya maishaaaaa.. Saa inabidii niombe nipate self control
Kesho tusipatane na ma birth control
I feel it in my heart I feel it in my soul
Tukiweka mungu mbele ata take control, 
Isiwe story.. 
Hii mambo ni ngori.. Maisha si movie.. 
Usijekesho ukasema what

You better take, take, take, take, take it slow take it slow
You better take, take, take, take, take it slow
Maisha si rehearsal, ukiandika huwezi cancel
You better take, take, take, take, take it slow

Pole, pole, pole, pole mbio sakafuni mwisho ni ukingoni
Vijana na madrum utawatafuta lini, mama analia uuwuuu.. ii ii iii.. 
Sa nikama tumekwama, kimoja maisha sa ni instagram 
Tukibishana na swagger, mali yakuwazima ikiwaka
Na sa hiyo ndio story, hivo hivo ni ngori
Malaika wa mbiguni uje, ujee.

Take it slow, pole pole
You better take it slow
You better take it slow
Take it slow

Music Video
About this Song
Album : Take it slow (Single),
Release Year : 2016
Copyright : ©2016
Added By: Trendy Sushi
Published: Feb 12,2020
More Lyrics By WILLY PAUL
Comments ( 0 )
No Comments
Leave a comment
Top Lyrics


You May also Like


Download Mobile App

© 2020, New Africa Media Sarl

Follow Afrika Lyrics