Uko Wapi Mungu Lyrics
Uko Wapi Mungu Lyrics by WILLIAM YILIMA
Uko wapi eeeeh Mungu wangu
Uko wapi njoo niokoe(x2)
Mawimbi yanataka kuniangamiza
Misukosuko yananiandama
Majaribu hazikomi kwangu
Uko wapi Fanya hima niokoe
Uko wapi eeh Mungu wangu
Uko wapi njoo niokoe
Mawimbi yanata kuniangamiza
Misukosuko yananiandama
Dhoruba na majaribu hazikomi kwangu
Uko wapi Fanya hima niokoe
Uko wapi eeeeh Bwana
Usifiche uso Bwana
Nitachoka pekee yangu sitaweza
Uko wapi Jehovah mbona Ni Kama umeniacha
Usifiche uso wako Eeeeh Bwana
Usifiche uso wako Bwana
Nimevumbikwa
Amani kwangu Ni Kama ndoto
Ole wangu nikifurahi siku moja
Siku sita nitalia wiki ipite
Nikisimulia kwa ndugu wanasema nitajijua na Mungu wako
Wakati mwingine natamani Heri
Nife
Kuliko niishi ninyanyasike hivi
Nimevumbikwa wimbi na mawazo amani
Kwangu Ni Kama mawazo
Uko eeeeeh Mungu wa Elia
Uko wapi eeeeeh Mungu wa Isaka
Elishadai Fanya Mambo uniokoe
Uko wapi nikama umeniacha
Usifiche uso wako Bwana
Nachoka pekee yangu sitaweza
Uko wapiiiiiiii eeeeeeh Bwana
Mbona nikama umeniacha
Usifiche uso wako Bwana
Nachoka pekee yangu sitaweza
Uko wapiiiiiiii eeeeeeh Bwana
Mbona nikama umeniacha
Usifiche uso wako Bwana
Watch Video
About Uko Wapi Mungu
More WILLIAM YILIMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl