Hii Siyo Ndoto Yangu Lyrics
Hii Siyo Ndoto Yangu Lyrics by WILLIAM YILIMA
Hiii sio ndoto yangu (x2)
Hivi nilivyo si ndoto yangu
Naenda viwango vingine
Hii siyo ndoto yangu
Hapa nilipo si ndoto yangu
Naenda viwango vingine
Mahali ninatoka Kuna mahali ninaenda
Hapa napita tu
Hii si ndoto yangu
Naenda viwango vingine
Dhambi yangu ninaona viwango vingine
Mbele yangu naona viwango vya juu
Naenda viwango vingine
Naenda viwango vingine
Sitakua hivi nilivyo
Utukufu
Naenda viwango vingine
Naenda viwango vingine
Utukufu ukue na utukufu
Ulitua Fanya biashara ndogo ndogo
Ndoto yangu nikumiliki biashara kubwa kubwa
Kuitwa mwimbaji mdogo
Ndoto yangu nikuitwa mwimbaji mkubwa
Naenda viwango vingine
Kuitwa mfugaji mdogo mdogo
Hii sio ndoto yangu
Ndoto yangu nikumiliki kubwa kubwa
Kuitwa mkulima mdogo mdogo
Sio ndoto yangu
Naenda viwango vingine
Kuitwa mchungaji mwenye kanisa dogi dogo
Hiii sio ndoto yangu
Ndoto yangu nikumiliki kanisa la watu wengi
Naenda Viwango vingine
Kuna mahali ninatoka na ninakwenda
Naenda viwango vya juuu
Eeeeh Mungu wangu Nisaidiee
Naenda viwango vya juu kiuchumi
Naenda viwango vingine
Naenda viwango vingine
Naenda viwango vingine
Namuamini Mungu wangu
Naenda viwango vingine
Utukufu ukue na utukufu
Watch Video
About Hii Siyo Ndoto Yangu
More WILLIAM YILIMA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl