Kwa Mrombo Lyrics
Kwa Mrombo Lyrics by WHOZU
S2KIZZY baby
[CHORUS]
Kwa mrombo… eeh Kwa mrombo eeh
Kwa nrombo eeh Kwa mrombo
Ita boda twende
Kwa Mrombo … eeh Kwa Mrombo
Choma nyama kula eh
Kwa Mrombo … eeh Kwa Mrombo
Manyama manyama
Zi mpaka zi mpaka zi (Zi)
Zi mpaka zi mpaka zi (Zi)
Zi mpaka zi mpaka zi (Zi)
Zi mpaka zi mpaka zi (Zi)
Naamka asubuhi na usingi (zi)
Naenda kunywa chai ya tangawi (zi)
Na kitafunio cha maanda (zi)
Amenikataa Mimima (zi)
Kwani kunguru na kanga mzuri na nani
Mzuri kaaga mwenye madoa
Mmm eeeh Mzuri nani eeh
Mzuri kanga mwenye madoa
Ebe ebe ebe eehehe ebe ebe eberere
Ebe ebe ebe eehehe ebe ebe eberere
Pandisha mayenu
Nandisha mayeye mayenu mayeye
Pandisha mayenu
Pandisha pandisha mayenu
[CHORUS]
Kwa mrombo… eeh Kwa mrombo eeh
Kwa nrombo eeh Kwa mrombo
Ita boda twende
Kwa Mrombo … eeh Kwa Mrombo
Choma nyama kula eh
Kwa Mrombo … eeh Kwa Mrombo
Manyama manyama
[VERSE 2]
Eeh tunayabambia machinene (aloo)
Kama hujachangia usisogee (sepaa)
Tunakunywa bia mapededje
Nakujenga tutajenga pia (labda uzee)
Kwani kunguru na kanga mzuri na nani
Mzuri kanga mwenye madoa
Mmmh eeeh , mzuri nani eeh
Mzuri kanga mwenye madoa
Ebe ebe ebe eehehe ebe ebe eberere
Ebe ebe ebe eehehe ebe ebe eberere
Pandisha mayenu
Nandisha mayeye mayenu mayeye
Pandisha mayenu
Pandisha pandisha mayenu
[CHORUS]
Kwa mrombo… eeh Kwa mrombo eeh
Kwa nrombo eeh Kwa mrombo
Ita boda twende
Kwa Mrombo … eeh Kwa Mrombo
Choma nyama kula eh
Kwa Mrombo … eeh Kwa Mrombo
Manyama manyama
Watch Video
About Kwa Mrombo
More WHOZU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl