
Roba Roba Lyrics
Roba Roba Lyrics by WEEZDOM
Wananiita Weez, kijana Weez
(EMB Records)
Roba roba roba roba roba duu
Nina Yesu ndio maana najiduu
Roba roba roba roba roba duu
Nina Yesu ndio maana najiduu
Roba roba roba roba roba duu
Nina Yesu ndio maana najiduu
Roba roba roba roba roba duu
Nina Yesu ndio maana najiduu
Wananiita Weez, kijana Weez
Nawasha narw hadi devil anafreeze
Wo-- wanajua who He is
Anabadilisha every stom into breeze
Steez zimeincrease ju amenipea peace
Ndo maana najidu shetani anafeel uduu
Kumsifu bila pressure ndo kitu daily naduu
Ndio maana style mpya inaitwa roba roba duu
Roba roba roba roba roba duu
Nina Yesu ndio maana najiduu
Roba roba roba roba roba duu
Nina Yesu ndio maana najiduu
Roba roba roba roba roba duu
Nina Yesu ndio maana najiduu
Roba roba roba roba roba duu
Nina Yesu ndio maana najiduu
Niko na Yesu ndani yangu na ndio maana najiduu
Kila siku namsifu nikiruka ruka juu
Shetani akinisaka mi nalenga lenga tu
Natazama milimani kwa Babangu aliye juu
Na kila place nikienda nitafollow your way
Kujiskia bila wewe ni kugo astray
Siringi juu ya shilingi juu pride haiezi pay
Nafloss nikikusifu roba roba roba duu
Roba roba roba roba roba duu
Nina Yesu ndio maana najiduu
Roba roba roba roba roba duu
Nina Yesu ndio maana najiduu
Roba roba roba roba roba duu
Nina Yesu ndio maana najiduu
Roba roba roba roba roba duu
Nina Yesu ndio maana najiduu
Watch Video
About Roba Roba
More WEEZDOM Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl