Tuheshimu Ndoa Lyrics
Tuheshimu Ndoa Lyrics by STIVO SIMPLE BOY
Waebrania 13:4
Ndoa inaheshimiwa na watu wote
Na malazi yawe masafi
Stivo Simple Boy ndio maanake
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Mbona nani nyinyi mlipendana?
Si nyinyi tu mlikuwa mkichumbiana
Mliahidiana mapenzi mingi sana
Na sasa mnadai kuachana
Manze kudivorce sio poa
Inafanya watu wakuwe vipoa
Pete mliweka sasa mnatoa
Mapenzi mlipanda, sasa mnang'oa
Ni poa kurudisha love ndani ya ndoa
Take your time study mtu kabla hujamoa
Usitupe mbao juu ya mapaja
Zikifade utaachwa ukitapa tapa
Huku kule kama mana bata
Vipi leo unachana mlikula bata
- kwa haja kisha potea
Sasa mwakipata pata
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Mola aliweka ndoa ni ya wawili
Bwana na bibi akaweka mikakati
Mambo ikawa shwari
Lakini wanadamu wakageuza story
Majina matamu kama beiby beiby
Sweety sweety, honey honey
Siku hizi hapatikani
Wakati mlioana mliweka promise
Mbele ya mashahidi na kasisi mkakiri
Eti beiby I want you, beiby I need you
Beiby I love you, lakini wote leo mmekuwa makafiri
Mara sukari mummy, mara sukari daddy
Hakuna penzi la dhati
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Ndoa siku hizi imekuwa mchezo
Mpaka wengine wanachomwa na maji moto
Wanabehave tu kama watoto
Kila saa kila siku ni malumbano
Baba na mama mataka maelewano
Mtaa imejaa watoto kibao
Mawazo kibao mpaka kwenye mtandao
Siri za ndoa zilifikia aje wao?
Tutafakari mama, tutafakari baba
Ndoa is all real sio pata potea
Mpango wa kando potezea
Love is for two to become one
Kwa heshima na uaminifu tutamake it tu
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Mabibi na mabwana mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Wanaume kwa wanawake mheshimu ndoa
Ah, mheshimu ndoa
Watch Video
About Tuheshimu Ndoa
More STIVO SIMPLE BOY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl