PLAYZONE Dandia cover image

Dandia Lyrics

Dandia Lyrics by PLAYZONE

Amebeba kitambi yaa, kinyambi yaa
Huu msupa namdandia
Amebeba kitambi yaa, kinyambi yaa
Huu msupa namdandia

Mi nataka kumdaa, uuh uuuh uuh kumdandia
Mi nataka kumdaa, uuh uuuh uuh kumdandia
Mi nataka kumdaa, uuh uuuh uuh kumdandia
Mi nataka kumdaa, uuh uuuh uuh kumdandia

Njoki unanipea walai yes bana
Pongi tight saa nafunga joh na spanner
Mpaka dry dry ni ka niko river Tana
Maji mob ikijaa joh namwaga

Nilimpiga jana akadai leo blunder
Ati ningojee mpaka kesho mchana
Aii ki Arimis ntakanyaga
Ama nikute beshte yake Sandra

Anadhania atanikazia, arif yake ananikalia
Nilimpea kimali ya Tanzania
Akapanda kama ngamia aaai
Akapanda kama ngamia Tanzania, kama ngamia

Amebeba kitambi yaa, kinyambi yaa
Huu msupa namdandia
Amebeba kitambi yaa, kinyambi yaa
Huu msupa namdandia

Mi nataka kumdaa, uuh uuuh uuh kumdandia
Mi nataka kumdaa, uuh uuuh uuh kumdandia
Mi nataka kumdaa, uuh uuuh uuh kumdandia
Mi nataka kumdaa, uuh uuuh uuh kumdandia

Ushaicheki dem na kikwela kibigi
Kya Vera na Huddah gathee
Ma-make tu mingi mafilter 
Kumbe anakulwa na sponsor kwa giza

Ilikuwa kiasi nimwombe tu mapicha
Akituma nudes minamcheki kama pizza
Akatuma boob nikajua hio ni teaser
Waaah hajui anaumiza, lazima

Nitamdandia, nitamdandia
Kwanza leo ananilazia
We angalia tu Nadia atakukazia
Msupa wako akinigawia

Amebeba kitambi yaa, kinyambi yaa
Huu msupa namdandia
Amebeba kitambi yaa, kinyambi yaa
Huu msupa namdandia

Mi nataka kumdaa, uuh uuuh uuh kumdandia
Mi nataka kumdaa, uuh uuuh uuh kumdandia
Mi nataka kumdaa, uuh uuuh uuh kumdandia
Mi nataka kumdaa, uuh uuuh uuh kumdandia

Watch Video

About Dandia

Album : Dandia
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 04 , 2020

More PLAYZONE Lyrics

PLAYZONE

Comments ( 0 )

No Comment yet

About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl