Fom Za Wathi Lyrics
Fom Za Wathi Lyrics by PLAYZONE
Nina kabess kana mabeste less
Na wakores ka unadai normaless
Kuanzisha mtindo mamunju kwa Shiko
Nitumia ka dildo na mmoja ako mens
Slowly slowly, slowly nishaanza kutensing
Niko horny horny, horny ju wana-undress
Woi woi ndani ya mpongi nishamess
Alafu Tony calling nikakata no offence
Ni wikendi niko maji unanipigia sijali
Jo sitaki form za wathii (Staki form za wathii)
Ni mamzinga mangwai manguna wako high
Leo staki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Juu sitaki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Juu sitaki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Ni mamzinga mangwai mamnguna wako high
Leo staki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Nilimwaya akacheka
Alifuata mali mzito ye ako Fedha Fedha
Anadai tu kutekwa
Big bumper toto mi nikapenda penda
Na vile anarombosa, dondosa nyash
Mi nakachokoza namuita Tash
Kakiinama mi nasimama, mi nasimama
Sina runda mi naangusha bash
Ni wikendi niko maji unanipigia sijali
Jo sitaki form za wathii (Staki form za wathii)
Ni mamzinga mangwai manguna wako high
Leo staki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Juu sitaki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Juu sitaki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Ni mamzinga mangwai mamnguna wako high
Leo staki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Ni super Gui nateka manzi wa Dalla
Napiga looku nakutoka manzi na akala
Sitaki through pass mi hupiga tikitaka
Na vile amebeba ameshinda hadi makanga
Niko na mzinga imebakia tu bata
Na kama ni mapacha basi mi nitawakata
Una mapepo we niite tu pastor
Na leo nitakushow mi ni mwalimu wa Ng'ang'a
Ni wikendi niko maji unanipigia sijali
Jo sitaki form za wathii (Staki form za wathii)
Ni mamzinga mangwai manguna wako high
Leo staki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Juu sitaki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Juu sitaki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Ni mamzinga mangwai mamnguna wako high
Leo staki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Buda kanichichi misi ka kamisi
Niko kwa mix, staki jo staki jo
Usinipime mi si chizi
Riba nyingi na hauna manzi, staki jo staki jo
Ka we si dem go missing kunyonga monkey
Siku hizi, staki jo staki jo
Cray mi ni arif tumetoana mbali
Mbona huniskizi, ju staki jo staki jo
Staki dem ako na maringo maringo
Amekulwa sana ye ni ingoho ingoho
Ye si mtaro ye ni Baringo Baringo
Hataki miti mpe tarimbo
Na dem mzinga ndo kuchanga
Buda boss hii si bash ya mamatha
Siendagi church mi ni pagan
Na ka bash ni Sunday lazima utoe sadaka aah
Ni wikendi niko maji unanipigia sijali
Jo sitaki form za wathii (Staki form za wathii)
Ni mamzinga mangwai manguna wako high
Leo staki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Juu sitaki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Juu sitaki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Ni mamzinga mangwai mamnguna wako high
Leo staki jo form za wathii (Staki form za wathii)
Staki jo form za wathii
Staki jo form za wathii
Staki jo form za wathii
Staki jo form za wathii
Watch Video
About Fom Za Wathi
More PLAYZONE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl