
Amefanya Mungu Lyrics
...
Amefanya Mungu Lyrics by WAPENDWA MUZIKI
Amenivua vazi langu la aibu
Na moyo wangu akatibu
Sina budi ila nimusifu
Ona vile amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ni yeye, ni yeye amefanya Mungu
Ni yeye yeye amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ni yeye, ni yeye amefanya Mungu
Ni yeye yeye amefanya Mungu
Nina jambo nina jambo
Ninatamani niseme
Jamani nina jambo ninatamani niseme
Umenifunika na neema yako
Tena umenifadhili mimi
Umeondoa vizuizi
Kwa mkono Baba umenibariki
Umenihurumia mimi, umenikumbuka mimi
Umeondoa vizuizi
Kwa mkono Baba umenibariki iiih
Ona vile amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ni yeye, ni yeye amefanya Mungu
Ni yeye yeye amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ni yeye, ni yeye amefanya Mungu
Ni yeye yeye amefanya Mungu
Ame amenipendelea aah
Yesu ame amenipendelea aah
Ame amenipendelea aah
Yesu ame amenipendelea aah
Ninapendeza kwake nametameta
Ninapendeza kwake nametameta
Ninapendeza kwake nametameta
Ona vile amefanya Mungu
Ona vile amefanya Mungu
Ni yeye, ni yeye amefanya Mungu
Ni yeye yeye amefanya Mungu
Ninapendeza kwake nametameta
Ninapendeza kwake nametameta
Ninapendeza kwake nametameta
Watch Video
About Amefanya Mungu
More WAPENDWA MUZIKI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl