Success Lyrics
Success Lyrics by WALTER CHILAMBO
Kuna Muda machozi hayaniishi
Huzuni haikatiki
Hata ninapojaribu kutembea
Naona sifiki
Maumivu na Changamoto
Havikwepeki
Imani yangu najua
Wakati wangu upo
Kama walipata wengine
Nami nitapata pengine
Sikati tamaa
Napambana (uuueeehh)
Wacha leo wanicheke nikitafuta sipati
Na hata mimi nichelewe ila hapa sitabakia
I need success in my life
Mungu anibless in my life
Mmmhh More bless in my life
Viwango vingine
I need success in my life
Baba unibless in my life
More blessings Testimony
Eeh eeeh eehh eeyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
Lazima nifanikiwe
Eeh eeeh eehh eeyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
Lazima nifanikiwe
Sijazaliwa ili nishindwe
Hata nikipanda mlima lazima
Mi nifike (kileleni)
Sijaumbwa ili niteseke
Nitapambana vita mimi shujaa
Lazima nishinde
Baraka zangu nitangojea
Kama ni kuchekwa nimezoea
Mungu wangu namuamini
Bado sichoki bado sichoki
Kama walipata wengine
Nami nitapata pengine
Sikati tamaa
Napambana
I need success in my life
Mungu anibless in my life
Mmmhh More bless in my life
Viwango vingine
I need success in my life
Papa God oh Bless my life
More bless Testimony
Eeh eeeh eehh eeyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
Lazima nifanikiwe
Eeh eeeh eehh eeyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
Eeeh eeeh eehh eeyyaah
Lazima nifanikiwe
Uuuuuuhhhh aaahhh aahh mmhhh
Watch Video
About Success
More WALTER CHILAMBO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl