Why Me Lyrics by TIMMY TDAT


Msaka tonge niko streeti, naisaka doh
Ndo naanza mziki na bado sijapata show
Niliambiwa kuwa elimu ni ufunguo
Mbona nimesoma, au niliyo nayo si ya mlango huo
 
Huh, popote nazisaka chambi
Shida zingejenga mwili ningeota kitambi
Madada wa kitaa wanaona nyea kambi
Utawasikia, mwizi bwana gani huyo mvuta bangi
 
Hawa mabeste waafrika
Kuitwa kuigiza maisha feki huko Insta
Chapaa naitafuta ila bado haijalipa
Nimiliki manzee msupa kama Vera Sidika
 
Why me, why me, why me
Kila nachofanya kinakuwa zogo
Why me, why me, why me
Napambana wala si kidogo
 
Why me, why me, why me
Ata marafiki wamekuwa mbogo
Why me, why me, why me
Why me, why me, why me
 
Yeah, sina fare toka Inda natembea
Nina mkidi home natry kumlea
Mathe pia, haezi tembea
Huh, mi na shida tushakuwa kama pair
 
Napiga chuom nakutana na afande
Shili nyamwa anataka tu kipande
Sina phone manze sina hata kabambe
Nitawaambiaje home leo nalala rumande
 
Ni ati tunataka hizo brand new car
Wacha kutujudge na vile si hukaa
Tulisha reform tulibadilika
Tupatie chance tukajenge jina
 
Why me, why me, why me
Kila nachofanya kinakuwa zogo
Why me, why me, why me
Napambana wala si kidogo
 
Why me, why me, why me
Ata marafiki wamekuwa mbogo
Why me, why me, why me
Why me, why me, why me
 
Huh faraja ndo after dhiki
Ya daraja sipitiki
Kabla ata saa mbili
Wanasemaga ni sisi
 
Ukimwaga jasho alafu upate doh
Hiyo ni mori
Ukihustle hadi ukate moyo
Hiyo ni ngori
 
Nimeacha pang'ang'a na napambana nang'ang'ana
Maana, hawa mbang'a washenzi sana
Bado nahustle sijapata doh
Namwaga jasho ka gorocho Kariakor
 
Aaah eeh, namwomba Mo-la
Promoter apige simu za show
Salary ndo inaleta temptation
Na makarao wana bado wanataka attention
So tafuta Kasabuni, ukaspend bunda kitaa bamba
Na mbio za sakafuni sio za punda
 
Why me, why me, why me
Kila nachofanya kinakuwa zogo
Why me, why me, why me
Napambana wala si kidogo
 
Why me, why me, why me
Ata marafiki wamekuwa mbogo
Why me, why me, why me
Why me, why me, why me

Vicky pon this
 
Kila nachofanya kinakuwa zogo
Napambana wala si kidogo
 
Why me, why me, why me
Kila nachofanya kinakuwa zogo
Why me, why me, why me
Napambana wala si kidogo
 
Why me, why me, why me
Ata marafiki wamekuwa mbogo
Why me, why me, why me
Why me, why me, why me
Kila nachofanya kinakuwa zogo
Napambana wala si kidogo

Watch Video

About Why Me

Album : Why Me (Single)
Release Year : 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 20 , 2019

More TIMMY TDAT Lyrics

TIMMY TDAT
TIMMY TDAT
TIMMY TDAT
TIMMY TDAT

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl