Fareast Lyrics by MZANSI


Drill imefika fareast (toroka)
Penye crime ni talent Ndenga Kwa arm na njungu Kwa pocket   
(bunga usibonge Buda si usonge)
Drill imefika fareast (toroka)
Penye crime ni talent Ndenga Kwa arm na njungu Kwa pocket   
(bunga usibonge Buda si usonge)

FYI wananiita mzansi Big deal Kwa drill
Izi sides si tuko Makush kush Y
Why lie for real flex on your ex na thong ya kukopa
Streets inaget tougher mambleina toroka
Napul up na geng ogopa Tume carry  Aks
Glocks bastola bila kuchoka Sii ndio ma kitchen stabbers mistari
Kwa booth zinaflow kuliko pampers I got a feck ID imposter
Chunga ndugu usikule copper Bila pupa nililand kwa streets
Police Wana hate With no record ya offence
Mtaa huwa highly flammable tumekeep it simple   
Bado tunawa supply maganja
Am sorry tusay Kuna manzi alitrip akakula cookie kama shuksha
Stick by as au utamadwa, na badae tu pretend hatukurada
Producer anazusha si ndio flames
Na kule mtaa tunawafanya njia zingine wasipite
Back tukiwa tu ma rookies tuliwarob tu mabano na pale
Shule hatukuwachwa nyuma sector ya ma pano
Kaa chini na u take easy Areacode ni 1960 na bado mbogi haijadishi
Kukutoka ni virahisi. Huyo manzi ningemdishi but kuna venye alikuwanga mfishy
Macocktail za ma Barbie tu! Ma  Cocaine za wanati tu
Mabare za wangati tu! Nina champe Kati Kati kwenye track ye huwanga Ringo
Am sorry tunge mingle but  
Drill imefika fareast   (toroka)
Penye crime ni talent Ndenga Kwa arm na njungu Kwa pocket    
(bunga usibonge Buda si usonge)
Drill imefika fareast (toroka)
Penye crime ni talent Ndenga Kwa arm na njungu Kwa pocket   
(bunga usibonge Buda si usonge)

Na stenje jua wako listing wanatafta hawa maboi wawili
We both guilty for murder ndani ya booth juu tulikill it
Penye tumetoka jina bigi weka capslock kwa beginning
1960 capital city capital city ya far east
Tuko pysched up tu ka Dedan grounds ni rough na hakuna refa
Daily on ni making moves ,uku nje wananiita steppah
Haijawai walai kuwa easy izi sides kutaftia cheda
Na tukipenye jooh mtasema (mmmh)hizi zao ni za terror
In real sense haiko ivo ,nyi mlisoma si tulicram
But sahii wote tuko kwa same page ndani ya kichaka armed for hunt
Na good morning ifikie africa mdomo iko blunt akili ikue sharp
Si ndio good among the bad , Far east ndio home ,far east ndio land (Mmh)
Stay indoors si juu ya covid ,juu ya ile mbogi ya pale juu
Walipona passy tenje siku ya confession wakakam through
Izi sides tushazoea nduru TV zetu ziushinda mute
Tutoke atleast tu rescue life na ka ni fala pia tumscoop
Si kila saa ukiitwa unaitika watakuframe na wee sio picture
Remember kubaki silent kwenye league haitakufavour
Na msho asikam kijudas iyo option inaeza fanya atasepa
Ndani ya jacket kuna gadget akicheza wrong walai atarengwa
Ndani ya jacket kuna gadet akicheza wrong walai atarengwa

Drill imefika fareast     (toroka)
Penye crime ni talent Ndenga Kwa arm na njungu Kwa pocket    
(bunga usibonge Buda si usonge)
Drill imefika fareast (toroka)
Penye crime ni talent Ndenga Kwa arm na njungu Kwa pocket   
(bunga usibonge Buda si usonge)

Watch Video

About Fareast

Album : Fareast (Single)
Release Year : 2020
Added By : Murayakim
Published : Feb 09 , 2022

More MZANSI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl