Ndogogio Lyrics
Ndogogio Lyrics by TEAM GANJI
Team Ganji
(Siren on the Beat)
Bash imeshika sherehe leo ni kukatisha
Nataka wathii wajue tumetoka backsteet
Tutingike na tei menjege wote watii
Wajuange ni wikendi nipatie ndogogio
Ati tuko ndogogio, ndogogio
Tuko ndogogio, ndogogio
Ati tuko ndogogio, ndogogio
Tuko ndogogio, ndogogio
Mmmh tuko yellow yellow, ati corona virus
Ju amejipin si rada anakuwanga na titan
Ye hutakaga tufanye dhambi zote siku zote
Yu tesaga mtaa anatakaga mi nimfuate
Ju mi ni bazenga nakuwanga mgange
Naskiaga ye hunitaka lakini hanipati
Ye husakaga wathii wote wa kambi nare
Lakini Umojamaica nakuaga mi fathe
Bash imeshika sherehe leo ni kukatisha
Nataka wathii wajue tumetoka backsteet
Tutingike na tei menjege wote watii
Wajuange ni wikendi nipatie ndogogio
Ati tuko ndogogio, ndogogio
Tuko ndogogio, ndogogio
Ati tuko ndogogio, ndogogio
Tuko ndogogio, ndogogio
Kush hapa natoka teke sana kama ferrari
Nguna amejibeba ameoverload kama gari
Mi afande usinishike bado sijakata makali
Ninapeleka magode kwa hiyo mbogi ya Budalangi
Tuseme alimtoka ju ya sponyo ana kitambi
Pastor Nganga akanichuja ju nina madhambi
Fisi jo ni fisi kuwanyanda magizani
Looku chini safi nawateka na maganji
Bash imeshika sherehe leo ni kukatisha
Nataka wathii wajue tumetoka backsteet
Tutingike na tei menjege wote watii
Wajuange ni wikendi nipatie ndogogio
Ati tuko ndogogio, ndogogio
Tuko ndogogio, ndogogio
Ati tuko ndogogio, ndogogio
Tuko ndogogio, ndogogio
Leo ni bash lazima tujibambe
Tuteke wote wote wajue tuko ndogogio
Chok ya das, chaser na makali
Waskie jo tuko fiti, ju ya venye tuko ndogogio
Tuko ndogogio, ndogogio
Tuko ndogogio, ndogogio
Eeh hataki vitu
Ta ta ki ta, kukaka kuka, kukatika aah
Bash imeshika sherehe leo ni kukatisha
Nataka wathii wajue tumetoka backsteet
Tutingike na tei menjege wote watii
Wajuange ni wikendi nipatie ndogogio
Ati tuko ndogogio, ndogogio
Tuko ndogogio, ndogogio
Ati tuko ndogogio, ndogogio
Tuko ndogogio, ndogogio
Mi nko ma-wines na kashore tu kafine
Kana whine meanwhile kiche thighs
Anaenda mbili mbili ni ma-red eyes
Niko murambe niko mapombe
Na didi ndim ndim
Niko masteam steam
Si doctor ringding ni ka pon
Lyrical ting mi ni wagwan
Tuseme wollan bila shatta
Doba ni gwanzo, looku ni cleanso
Ni weekendi tujinyc
Tuko ndogogio, ndogogio
Ah ah
Bash imeshika sherehe leo ni kukatisha
Nataka wathii wajue tumetoka backsteet
Tutingike na tei menjege wote watii
Wajuange ni wikendi nipatie ndogogio
Ati tuko ndogogio, ndogogio
Tuko ndogogio, ndogogio
Ati tuko ndogogio, ndogogio
Tuko ndogogio, ndogogio
Bash imeshika sherehe leo ni kukatisha
Nataka wathii wajue tumetoka backsteet
Tutingike na tei menjege wote watii
Wajuange ni wikendi nipatie ndogogio
Ati tuko ndogogio, ndogogio
Tuko ndogogio, ndogogio
Ati tuko ndogogio, ndogogio
Tuko ndogogio, ndogogio
Watch Video
About Ndogogio
More TEAM GANJI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl