TEAM GANJI Mashash cover image

Mashash Lyrics

Mashash Lyrics by TEAM GANJI


Huyu ndugu yetu 
Alitaka ku legalize Marijuana ama bangi
Na tunasikia bangi iko na dawa ya cancer
Dawa ya cancer, bangi ikuwe legalized

Niko mashash, niko mandom
Niko mashash, niko mandom cheki
Niko mashash, niko mandom
Niko mashash, niko mandom
Niko ma shh, (Dawa ya cancer)

Cheki 
Cheki shash, cheki ndom
Cheki shash, cheki ndom(Ssh ssh)
Cheki shash, cheki ndom

Cheki shash
Cheki shash, cheki ndom
cheki shash, cheki (Ssh ssh)
Cheki shash, cheki ndom, cheki

Bora mistari ikubaliwe na society
Buda cheki ni fom
Nakuja na madawa nika nilimeza jong
Mistari kwa damu ni kali, buda joh makali
Cheki ndani zimeripoti 
Buda cheki ni mandom zimeshik
Skiza, adisia na chok ya makaa 

Nilihamanga Kayole siku hizi niko Hamazon
Leo lazima kieleweke tunacheza na --
Cheza na punani mi nipanguze kondiko
Ndo kaadisie kaflavour jo utamu wa makwado
Si skwodi nimepanga lyrically tuko fit
Mi huskumaga madaba, maduia mi niliquit
Si ni gava jo inabonga, round hii si ..

Niko mashash, niko mandom
Niko ma-shash, niko mandom 
Cheki niko mashash, niko mandom
Niko ma shh, eeh eeh 

Chora saba, ki Viu sasa
Bash imeshika utadhani passa passa
Papasa, cheza tu na thutha
Zangu zimeshika buda, zangu zimerunda

Washa shada ipite tu ma pass pass 
Kwenye baze ni kashada na majaba
Zimeshika zimerunda zimenasa
Aah zimenasa

Zimeshika zimerunda bado ni kambichwa
Niko baze na bado mi niko moshi
Niko machupa na bado mi niko tin tin
Manze jana bash, mi na rende ya magwash
Manze jo na pia Tash, 
Anita na Jugler kuburn shash
Feeling zikikam tu rasta zagazaga

Nipate jua tu ni ma-shash
Puff puff no chain jua ni ma-shash
Ka ni beat na kakush bado ni ma-shash
Ni-ma ni-ma bado nima-shash

Nipate jua tu ni ma-shash
Puff puff no chain jua ni ma-shash
Ka ni beat na kakush bado ni ma-shash
Ni-

Ni magava wamekam, tatu mbili zimeburn
Bila syk, twala knife na maboy watasafisha
Tatu za kiras, shika vela zikinyc
Piga tenje, tapwa kemba, ju mafala wakichachisha

Zimeshika zimekwata na Samohong
Kimbichwa ni kishash ni ki billabong
Nikivute nikifeel hadi kwa ubongo
Na madem wako fine si mafong'o
Ni kasweet nikanice ka nyong'i ndogo
Kwanza pale nikichanganya na Konyagi imbo
Zitashika zinirunde kiumbombo

Niko mashash, niko mandom
Niko ma-shash, niko mandom 
Cheki niko mashash, niko mandom
Niko ma shh, eeh eeh 

Puff puff no chain jua ni ma-shash
Ka ni beat na kakush bado ni ma-shash
Ni-ma ni-ma bado nima-shash

Za leo zimenichocha ni mading dong
Bado movie stero kanitaja kama King Kong
Nikizitema nika nilimeza jing jong
Tash mpee kalugha nikamsuka kiu-Ching Chong

Bado wedo anniversary ni Hong Kong
Wakiweka chuki watapata we are long gone
Juzi nimegotea ati Oloibon
Akadai Kappy manze bado wewe ni Lastborn

Niko mashash buda, niko mandom
Skiza, niko ma-shash, niko mandom 
Eeh niko mashash, niko mandom
Sssh ssh (Bangi ikuwe legalized)

Niko mashash, niko mandom
Niko ma-shash, niko mandom 
Cheki niko mashash, niko mandom
Niko ma shh, eeh eeh 

Cheki 
Cheki shash, cheki ndom
Cheki shash, cheki ndom(Ssh ssh)
Cheki shash, cheki ndom
Cheki shash
Cheki shash, cheki ndom
cheki shash, cheki (Ssh ssh)

Watch Video

About Mashash

Album : Mashash (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019 Team Ganji 254 ENTERTAINMENT.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 27 , 2019

More TEAM GANJI Lyrics

TEAM GANJI
TEAM GANJI
TEAM GANJI

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl