Mambo Ya Mhesh Lyrics
Mambo Ya Mhesh Lyrics by BAHATI
EMB Records… Bahati… Honourable. Teddy B
Kanavyo jikunywisha bear (bear)
Kanavyo nitingishia (aaha)
Na hakajavaa sindilia (lia)
Haka sitakaachilia (aaha… iye)
Ulivyokata hiyo (hey)
Wanipandisha joto to
Ulivyopinda mgongo
Wanipandisha joto to
Kata mauno baby
Ukibaki nitakubeba mgongo
Kata mauno baby
Ukibaki nitakubeba mgongo
Cause I’m gonna do what you did to me
You’re so beautiful good to me
Basi erereka kula hepi yote on me
You’re so beautiful good to me
Cause I’m gonna do what you did to me
You’re so beautiful good to me
Basi erereka kula hepi yote on me
You’re so beautiful good to me
Mambo ya mhesh, mhesh, mhesh
Mambo ya mhesh
Toto weka kando nakubless bless bless bless
Kama mhesh
Mambo ya mhesh, mhesh, mhesh
Mambo ya mhesh
Toto weka kando nakubless bless bless bless
Kama mhesh
Nikurotate, nikupokee nikubebe kama dolly
Kisha nikutongozee
We mtamu kama kachori
Hilo tabasamu umbo lako
You’ re just enough for me
Hilo tabasamu umbo lako
You’ re just enough for me
Ulivyokata hiyo (hey)
Wanipandisha joto to
Ulivyopinda mgongo
Wanipandisha joto to
Kata mauno baby
Ukibaki nitakubeba mgongo
Kata mauno baby
Ukibaki nitakubeba mgongo
Cause I’m gonna do what you did to me
You’re so beautiful good to me
Basi erereka kula hepi yote on me
You’re so beautiful good to me
Cause I’m gonna do what you did to me
You’re so beautiful good to me
Basi erereka kula hepi yote on me
You’re so beautiful good to me
Mambo ya mhesh, mhesh, mhesh
Mambo ya mhesh
Toto weka kando nakubless bless bless bless
Kama mhesh
Mambo ya mhesh, mhesh, mhesh
Mambo ya mhesh
Toto weka kando nakubless bless bless bless
Kama mhesh
Cause am gonna do what you did to me
Basi serereka kula hepi yote on me
Cause am gonna do what you did to me
Basi serereka kula hepi yote on me
Mambo ya mhesh, mhesh, mhesh
Mambo ya mhesh
Toto weka kando nakubless bless bless bless
Kama mhesh
Watch Video
About Mambo Ya Mhesh
More BAHATI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl