Miss Hip Hop Lyrics
Miss Hip Hop Lyrics by TANNAH
Let me show you how to do this
New generation to the next level
Mjue tofauti ya rapper na MC
Tupo far hizo home playing and nesi
Mitindo huru usinipangie jinsi ya kutembea
Mi kunguru afu vita vya panzi vinaendelea
Inang'aa lulu kiasi ambacho wanapotea
Piga simu ikulu uwaambie Tannah is on air
Miss Hip Hop sijaja chokozwa
Navyocheza rap moto huu hakuna wa kupoza
Sio tu mavazi sura pia inashika powder
Midomo wazi wakitizama kazi kwenye browsers
Utanikuta na earphones
Bandana kichwani na bag mgongoni
Wanauliza nakwenda wapi najibu chooni
Ile kiroho safi my life goes on
Mitindo huru sipangiwi jinsi ya kutembea
Wapige nduru taji nalitetea
Hapa MC pale DJ ndo kinachoendelea
Tumeweka vimekaa vimeundwa vyaelea
They call me Miss Hip Hop, Miss Hip Hop
They call me Miss Hip Hop, Miss Hip Hop
Nina plans za kufungua Hip Hop college
Raia mtaani waje kuijua hiphop knowledge
Nishang'amua kuwa na hiphop page
I dig deep wana huniita hiphop gauge
Shout out to Fetty na Salama Jabir
Realest MC ni mimi na kubanda we kill
Tuzo nilizo tia nia ni za BET
I rap hii 2pac, Ngwair na BIG
Kama unapenda hiphop easy kuwa rafiki
Nilisikitishwa na taarifa za Niki mbishi kuacha mziki
Chakula hakipiti bila snare na kiki
The way am perfect wao huniita the genius chic
Mitindo huru sipangiwi jinsi ya kutembea
Wapige nduru taji nalitetea
Hapa MC pale DJ ndo kinachoendelea
Tumeweka vimekaa vimeundwa vyaelea
They call me Miss Hip Hop, Miss Hip Hop
They call me Miss Hip Hop, Miss Hip Hop
Nikienda club natamani wapige hiphop tu
Na kukikucha niende cafe ninywe hiphop supu
Nyumbani kwangu Tanesco wafungue hiphop luku
Na maisha yangu yaandikwe kwenye hiphop book
Sina chuki na anayependa taarab
Nachoamini hajabugi na nina kila sababu
Isha, Kopa na Zuchu kwenye ngoma yangu
Alafu ndundo kavu ndo unakuta favourite ya Nyandu
Mchezo unachezo ndani ya nguzo tano
Asante Mungu kwa kunitumia kama mfano
Sikujiandaa ili kushindwa shindano
Nimetwa ubingwa Miss Hiphop shindano
Mjue tofauti ya rapper na MC
Ni kama umepata your friend na AC
Tupo far hizo home playing and nesi
Mitindo huru sipangiwi jinsi ya kutembea
Wapige nduru taji nalitetea
Hapa MC pale DJ ndo kinachoendelea
Tumeweka vimekaa vimeundwa vyaelea
They call me Miss Hip Hop, Miss Hip Hop
They call me Miss Hip Hop, Miss Hip Hop
Itold ya she King, tano tano
Kiri Records one more time baby
Taking hiphop to the next level
Watch Video
About Miss Hip Hop
More TANNAH Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl