In Love Lyrics
In Love Lyrics by BEKA FLAVOUR
Unajinenepea sasa kibonge
Raha unazonipa kwanini nikonde
Walai acha waone donge
Tunavyopendana hakuna madonge
Penzi unalonipa la Kisultan
Kuna muda nahisi niko peponi
Eey kumbe niko duniani
Wanipa raha zinavyozidi kiponi
Nakupandisha dau kuanzia leo
Maana ulonipa kama la kwenye video
Bonge la toto si umemea
Ukiniita naitika jana na leo
Hatupendani ka mafungu ya nyanya
Mi na baby wangu tunapendana
Real love hatuna mambo ya drama
Hadi tunaweza pendana
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
I love you baby, you got me crazy
Give it to me, give it to me am ready
Sounds amazing to have my baby
Come here look at you see how we made it
Kweli umenibamba moja yako namba
You gonna kill me slowly
Sina haja ya kudanga, mapenzi ya kitanga
Unanipa na enjoy
Nakupandisha dau kuanzia leo
Maana ulonipa kama la kwenye video
Bonge la toto si umemea
Ukiniita naitika jana na leo
Hatupendani ka mafungu ya nyanya
Mi na baby wangu tunapendana
Real love hatuna mambo ya drama
Hadi tunaweza pendana
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
In love, in love, tumezama kabisa
Watch Video
About In Love
More BEKA FLAVOUR Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl