I Lift You Higher Lyrics by STIVO SIMPLE BOY


Oooh...
So high, so high, high alone
So high, so high, high alone

Hapa duniani tumekuja kusafiri
Ni kweli, si siri hiyo ni kweli kamili
Siku ikifika tutamwona mwenyezi
Muumba mbingu na nchi, mpaka mbalamwezi

Anaponya kipofu, mpaka na kiziwi
Siku zote ametulinda, yeye yuko nasi
Anatupa chakula, mpaka na mavazi 
Napiga magoti nasali naamini

Ibilisi nakwambia huna nafasi
Bila Mola manze, sisi hatuwezi
Kwake niko freshi, nafeel happiness
Mungu Jemedari yeye ni mtetezi

Aliumba bahari, akanipa uhai
Akanipa kipaji, mimi ni msanii
Natema mistari, bila kufeli
Inafaa tumsifu na lugha zote
Hadi kiswahili, yeye anastahili
Yeye ni mpenzi tena ni Jenerali
(Aah Jenerali)

I lift you higher
I wanna lift you up...So higher  
Lemmi lift you up

I lift you higher
I wanna lift you up...So higher  
Lemmi lift you up

I lift you higher(Nakuinua inua inua)
So higher(So inua inua inua)
I lift you higher(Nakuinua inua inua)
So higher(So inua inua inua)

I lift you higher

Shetani ako down, Mungu number 1
Amenipenda mi, ata nikiwa na sin
Yeye ndiye dawa yaani, medicine
He opens my eyes now I can see

Mambo yake iko poa yaani iko fine fine
Amenipa wisdom, siku moja ndoto yangu 
Itakuwa on the top
Kwake nipo nipo wala sita-resign

Nitakuwa na raha, nitakunywa holy wine
Like father like son, yeye ndiye father
Mimi ndio son, ndiyo tunaweza Yes we can
Kwake nimelog in, sita log out

Yeye peke yake ndio mimi ninagain
He is my royal, I won't fall down
Nitamsifu juu bila kuona haya
Kwa shetani mimi nimesema NO

I lift you higher
Me nikulift you up...So higher  
I wanna lift you up

I lift you higher
Nitaku lift you up...So higher  
Lemmi lift you up

I lift you higher(Nakuinua inua inua)
So higher(So inua inua inua)
I lift you higher(Nakuinua inua inua)
So higher(So inua inua inua)

I lift you higher

Mola ananipenda kila kitu ninachotaka
Yeye ananipa nikitaka gari, nikitaka nyumb
Nikitaka mchumba, yeye ananipa
Ananibamba kuliko mganga, yeye ndiye mwamba

Kwake nimezama, kwake kuna baraka
Anapenda lugha zote, hadi ki Borana
Nikiwa kwenye giza anaweka mwangaza
Bila kusita sita, yeye ndiye baba
Amenitoa mbali sana, nashukuru tena sana
Milele daima, amenipa hekima

Amenipa uzima, kwake hakuna noma
Me nampa sifa, enamo ritowa
Enamo miwa ngima, kiyekuwa maybe robedo
Mangima siku zote amenilinda namuita Redeemer

I lift you higher
I wanna lift you up...So higher  
Lemmi lift you up

I lift you higher
I wanna lift you up...So higher  
Lemmi lift you up

I lift you higher(Nakuinua inua inua)
So higher(So inua inua inua)
I lift you higher(Nakuinua inua inua)
So higher(So inua inua inua)

I lift you higher

Watch Video

About I Lift You Higher

Album : I Lift You Higher (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019 Made In Kibera.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 09 , 2019

More STIVO SIMPLE BOY Lyrics

STIVO SIMPLE BOY
STIVO SIMPLE BOY
STIVO SIMPLE BOY
STIVO SIMPLE BOY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl