Atmosphere Lyrics
Atmosphere Lyrics by EUNICE NJERI
Jesus you are the atmosphere
Saturating heaven
Jesus you are the atmosphere
Saturate and fill this place
Wewe ndiwe anga
Anga ya mbinguni
Wewe ndiwe anga
Anga natamani
Jesus you are the atmosphere
Saturating heaven
Jesus you are the atmosphere
Saturate and fill this place
Wewe ndiwe anga
Anga ya mbinguni
Wewe ndiwe anga
Anga ya mbinguni
We’re singing majesty
Be lifted high
Oh Abba Father
Be lifted high
What a wonder, a wonder you are
What a wonder, a wonder you are
Jesus you are
Jesus you are beautiful
Jesus you are the atmosphere
Saturating heaven
Jesus you are the atmosphere
Saturate and fill this place
Wewe ndiwe anga
Anga ya mbinguni
Wewe ndiwe anga
Anga natamani
We’re singing majesty
Be lifted high
Oh Abba Father
Be lifted high
What a wonder, a wonder you are
What a wonder, a wonder you are
We’re singing majesty
Be lifted high
Oh Abba Father
Be lifted high
What a wonder, a wonder you are
What a wonder, a wonder you are
We’re singing majesty
Be lifted high
Oh Abba Father
Be lifted high
What a wonder, a wonder you are
What a wonder, a wonder you are
Wewe ndiwe anga
Anga ya mbinguni
Wewe ndiwe anga
Anga natamani
Shuka na uwepo wako Yesu
Anga natamani
Ukija tunapona mfalme
Anga natamani
Ukija na anga yako waku waokoka mfalme
Anga natamani
Shuka utende, shuka na Baraka
Anga natamani
Ukisema hakuna wa kukupinga mfalme
Anga natamani
Anga ya ushindi mfalme
Anga natamani
Anga ya ukombozi
Anga natamani
Shuka roho wa bwana
Anga natamani
Shuka na utende
Anga natamani
Shuka na baraka, shuka na upanyaji iyaji Baba
Anga natamani
Ukishuka, tunapona twakombolewa halleluya
Anga natamani
Yako mfalme wa wafalme
Anga natamani
Ukingia nani akupinge mfalme
Anga natamani
Hakuna linalo kuzuia kutenda mfalme
Anga natamani
Watch Video
About Atmosphere
More EUNICE NJERI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl