Kuchizi Lyrics by STELLA MWANGI


Mbele niko mbele mbele ya kuchizi(niko niko niko niko niko
Mbele ya kuchizi niko mbele,mbele ya kuchizi
Mbele ya kuchiz niko mbele
Mbele ya kuchizi kuchi kuchizi niko mbele
Mbele ya kuchizi kuchi kuchizi niko mbele ya kuchizi

Nikigusa chochote kitabling
Bora ushike nikiring ring au utakosa mambo bad girl thing
Bora ushike nikiring ring mie sie wa kuchapwa na kuepwa na huwezi
Ni chota na car ring ring bunduki yangu ni
Bling sio banok ona vire napata kakiru niki sing

Niko
Mbele ya kuchizi niko mbele,mbele ya kuchizi,
Mbele ya kuchiz niko mbele,
Mbele ya kuchizi kuchi kuchizi niko mbele ya kuchizi
Mbele ya kuwhat kuchi kuchizi niko mbele ya kuchizi,niko,niko

Mi ndio denda wa rap,flow so kwa rap
Tena am do some rap kastreet kapo rap,tena am suck a cock
Above all clock i be on my next stop chopper landing on the club ohh
Bumber cluck am higher than a dutch am killing this girl like a
Scotish on some scratch ohh my pulse am
About to take a short hii track naibinya kama 
T mi ndio denda wa rap 
A all day flowing like a rebel river running all way if am not a shit
The you takin a piss all my girls on my flowing make all you nigga
Stif a got many flow i can flow on my on flow put some beat on the
Beat let me go niko mbele ya hii game ya rap
From the second boy you knew already it was a rap
Niko
Mbele ya kuchizi niko mbele,mbele ya kuchizi
Mbele ya kuchiz niko mbele
Mbele ya kuchizi kuchi kuchizi niko mbele ya kuchizi
Mbele ya kuwhat kuchi kuchizi niko mbele ya kuchizi

Huwa sipo palipo wengineo wengineo

Huwa sipo palipo wengineo

Huwa sipo palipo wengineo
Huwa sipo palipo wengineo nnnneo

Mbele ya kuchizi niko mbele mbele ya kuchizi
Mbele ya kuchizi niko mbele
Mbele ya kuchizi kuchi kuchizi niko mbele ya kuchizi
Mbele ya kuwhat kuchi kuchizi niko mbele ya kuchizi
Ahhh

Watch Video

About Kuchizi

Album : Kuchizi (Single)
Release Year : 2018
Copyright : ©2018
Added By : Trendy Sushi
Published : Feb 22 , 2020

More STELLA MWANGI Lyrics

STELLA MWANGI
STELLA MWANGI
STELLA MWANGI
STELLA MWANGI

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl