JUX Fimbo cover image

Fimbo Lyrics

Fimbo Lyrics by JUX


Kwanza kabisa thanks to the Lord  To The  Lord, To The Lord 
Uzuri wako si wa kudownload 
Unanishangaza kila siku mi sichoki
Mwingine kama weeee mi sitaki

Wewe ndiyo fimbo yangu baby 
Ongeza raha zaidi mami 
Nikuweke tu kabisa ndani 
Kwangu wewe ndiyo burudani 
Wewe kiboko yangu baby
Ongeza utamu zaidi mami 
Ni Wewe tu tu baby
Ni Wewe 

I’ll give you everything yeah unanivuruga eeeh, unanivuruga 
I’ll give you everything darling I’ll give you everything unanivuruga eeeh unanivuruga 
Nitafunga moyo wangu sitoki funguo nikukabidhi wee I’ll give you everything 
Nitakupa moyo wangu na noti, chochote unachotaka wee I’ll give you everything

Ahhh yaaa yaaaa 
Ahhhh yaaa yaaa yaaa yaaa yaaa 

Una rangi ya chocolate 
Magnetic 
Romantic
Jinsi ulivyo humble baby so sexy
Wanivuta zaidi 
Kurudi nyumbani late mi sitaki kurudi Nyumbani late mi sitaki
Sababu nina wivu Moyoni ukiwa mbali sababu nina wivu moyoni 

Wewe ndiyo fimbo yangu baby 
Ongeza raha zaidi mami 
Nikuweke tu kabisa ndani 
Kwangu wewe ndiyo burudani 
Wewe kiboko yangu baby
Ongeza utamu zaidi mami 
Ni Wewe tu tu baby
Ni Wewe 

I’ll give you everything yeah unanivuruga eeeh, unanivuruga 
I’ll give you everything darling I’ll give you everything  unanivuruga eeeh unanivuruga 
Nitafunga moyo wangu sitoki funguo nikukabidhi wee  I’ll give you everything 
Nitakupa moyo wangu na noti, chochote unachotaka wee  I’ll give you everything

Unanivuruga eeeeh 
Unanivuruga Vuruga unanivuruga My Mama 

Unanivuruga eeeeh 
Unanivuruga vuruga unanichanganya

Unanivuruga eeeeh 
Unanivuruga Vuruga Yaani sioni sisikii 

Unanivuruga eeeeh 
Unanivuruga Vuruga Yaani siwezi 

Unanivuruga eeeeh 
Unanivuruga Vuruga Mama Siwezi

Unanivuruga eeeeh 
Unanivuruga Vuruga Yaani mimi kwako sisikii baby 
Yeaaaaaaaaaaaaaaa

Unanivuruga eeeeh 
Unanivuruga Vuruga Unaniiiii vuruga unanichanganya
Unanivuruga vuruga 

Watch Video

About Fimbo

Album : Fimbo (Single)
Release Year : 2018
Copyright : ©2018
Added By : Trendy Sushi
Published : Feb 22 , 2020

More JUX Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl