JUX Utaniua cover image

Utaniua Lyrics

Utaniua Lyrics by JUX


Iyeeeeei Iyeeeeeiiye Iyeeeeei
Imekua asubuhi, uwanja wa mapenzi moyoni umechafuka,
Nami sitaki, kufagia upendo uende,
Nina jua yangu roho ni ndogo ni ndogo hasa ikipenda-e
Ndio maana ukiwa tofauti baby, unaniumiza ndani ndani iyee
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza,
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza,
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby,
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza haaa
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza haaa
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby
Hey Utaniua 
My baby utaniua ua
Ooh utaniua ua
Ooh utaniua ua haaaha hey haaaha
Utaniua ua
Nilijichangachanga ilimradi upendeze ha
Nikajibanabana ilinisijikweze ha
Sikutaka kugombana nikupoteze baby,
Ilimradi niwe na wewe,
Kibaya zaidi naumia na upendo wako my love
Ulisema mpaka kifo mama ha tungelizikwa wote,
Tungelifa wote
Ila unanikatisha tamaa ha mimi sitaki uende.
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza bado
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza bado
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby bado
Bado najiuliza ni kipi sijatimiza bado
Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza bado
Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby,
Hey Utaniua ua haaaha hey aaaha
My baby utaniua ua
Ooh utaniua ua
Ooh baby utaniua ua haaaha hey haaaha
unaniua ua,
We mama wee unaniua ua, We mama wee unaniua ua,
We mama wee unaniua ua We mama wee unaniua ua,
We mama wee unaniua ua We mama wewee
Unaniua ua haaaha hey haaaha
Oh baby Unaniua ua haaaha
Wewe unaniua ua haaaha heiyeiye haaaha
Unaniua ua haaaha mh-hei haaaha
Unaniua ua
You love the one, you love the one, you love the one You love
You love the one you love the one you love the one You love
You love the one, you love the one  you love the one You love
You love the one you love the one you love the one You love

 

Watch Video

About Utaniua

Album : Utaniua (Single)
Release Year : 2017
Copyright : ©2017
Added By : Trendy Sushi
Published : Feb 22 , 2020

More JUX Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl