Umeniweza Lyrics
Umeniweza Lyrics by SOLOMON MKUBWA
Umeniweza Umeniweza
Umeniweza nimetulia
Nilikuwa mbishi sana (Umeniweza)
Nilikuwa sisikii ooh (Umeniweza)
Umeniweza Bwana (Umeniweza)
Nimewezewa na wewe (Umeniweza)
(Nimetulia)
Mimi huyu hapa nilikuwa kam-very complicated sana
Nilipokutana na wewe
Nilikuwa kamubishi sana
Nilikuwa napinga maneno yako Mungu
Nilipokutana na wewe
Masikio yangu yalikuwa magumu nilikuwanga sisikiangi
Yesu nilipokutana nawe (Umeniweza nimetulia)
Pombe nilikunywa sana bangi nilivuta sana
Nilipokutana na wewe (Umeniweza nimetulia)
Umeniweza umeniweza Bwana
Leo nimenyenyenyekea (Umeniweza nimetulia)
Leo nimetulia kwako
Umenipa furaha ya wokovu Yesu
Nilipotulia kwako Bwana
Umenitengeneza mapito yangu
Wengine wetu wamekunywa pombe mpaka wakalala mitaroni
Walipokutana na wewe (Umewaweza wametulia)
Wengine walipata mshahara wakakimbilia geste na kahaba
Walipokutana na wewe (Umewaweza wametulia)
Wengine walikuwa ni waasi wa neno lako
Walipokutana na wewe (Umewaweza wametulia)
Wengine walikuwa na michanuko walipokutana na Yesu
Michupuko imeanguka chini
Walipokutana na wewe (Umewaweza wametulia)
Wengine walikuwa na mipango ya kando
Walipokutana na Yesu mipango ya kando imeanguka
(Umewaweza wametulia)
Mwanaume Yesu wee Yesu umetuweza
(Umeniweza nimetulia)
Nimesaluti kwako (Umeniweza)
Yesu umetuweza (Umeniweza)
(Umeniweza nimetulia)
Waliokuwa wahuni wamekugeukia (Umeniweza)
Umewaweza Yesu wamerudi kwa maisha (Umeniweza nimetulia)
Umeniweza eeeh, umeniweza Baba (Umeniweza)
Umeniweza nashindwa kuongea (Umeniweza nimetulia)
Ameniweza ameniweza (Umeniweza)
Watch Video
About Umeniweza
More SOLOMON MKUBWA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl