Mungu Mzuri Lyrics by GODWILL BABETTE

Upendo wako haulinganishwi kamwe, na lolote
Na, gongo lako lanifariji mimi, kila saa

Mkono wako uko juu yangu, umenizingira nyuma na mbele
Napaa juu kama tai, na maamlaka zaidi ya ndege

Na, gongo lako lanifariji mimi, kila saa.

Mkono wako uko juu yangu, umenizingira nyuma na mbele
Napaa juu kama tai, na maamlaka zaidi ya ndege
Mkono wako uko juu yangu, umenizingira nyuma na mbele
Napaa juu kama tai, na maamlaka zaidi ya ndege

Mungu wewe ni mzuri, mzuri, mzuri Sana
Mungu wewe ni mwema, mwema, mwema kwangu

Watch Video

About Mungu Mzuri

Album : Mungu Mzuri (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 16 , 2020

More GODWILL BABETTE Lyrics

GODWILL BABETTE
GODWILL BABETTE
GODWILL BABETTE
GODWILL BABETTE

Comments ( 0 )

No Comment yet

About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl