Nitendee Muujiza Ashuhudie Lyrics
Nitendee Muujiza Ashuhudie Lyrics by SIFAELI MWABUKA
Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie
(Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie)
Nasogea mbeje zako mungu wangu nitendee muujiza ashuhudie

Alichukua furaha ya moyo wangu rudisha furaha yangu ashuhudie
(Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie)
Alinyang’anya ndoa yangu ikaenda rudisha ndoa yangu ashuhudie
(Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie)
Alinyang’anya kazi yangu nikafukuzwa akaniacha masikini rudisha Baba
(Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie)
Shetani alizuia Baraka zangu nitendee muujiza ashuhudie
(Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie)
Shetani alifunga uzazi wangu nipatie watoto ashuhudie
(Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie)
Baba nitendee muujiza
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Baba nitendee muujiza
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Baba nitendee muujiza
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Tabu ziondoke kwangu
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Furaha irusikwa nyumba yangu
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Kazi irudi mikononi mwangu
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Vyote alivyo ninyang’anya
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Arudisha furaha yangu
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Arudishe uohumi wangu Baba
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Arushishe afya yangu Baba
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Alisema sitoweza kubarikiwa nitendee muujiza ashuhudie
(Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie)
Shetani alileta aibu kwangu rudisha heshima yangu ashuhudie
(Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie)
Alisema sitoweza kubarikiwa nitendee muujiza nibarikiwe
(Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie)
Shetani alile laana kwangu ondoa laana kwangu ashuhudie
(Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie)
Aliniletea magonjwa yakanitesa niponye mungu wangu ashuhudiee
(Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie)
Aliniletea magonjwa sina amani rudisha amani yangu ashuhudie
(Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie)
Aliniletea laana umasikini rudisha utajiri wangu ashuhudie
(Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie)
Shetani alilaribu watoto wangu rudisha nafasi zao ashuhudie
(Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie)
Shetaninaliharibu uchumi wangu rudisha uchumi wangu ashuhudie
(Ninakuja kwako Baba ninaomba nitendee muujiza ashuhudie)
Baba nitendee muujiza
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Baba nitendee muujiza
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Baba nitendee muujiza
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Tabu ziondoke kwangu
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Furaha irusikwa nyumba yangu
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Kazi irudi mikononi mwangu
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Vyote alivyo ninyang’anya
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Arudisha furaha yangu
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Arudishe uohumi wangu Baba
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Arushishe afya yangu Baba
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Baba nitendee muujiza
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Baba nitendee muujiza
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Baba nitendee muujiza
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Tabu ziondoke kwangu
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Furaha irusikwa nyumba yangu
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Kazi irudi mikononi mwangu
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Vyote alivyo ninyang’anya
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Arudisha furaha yangu
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Arudishe uohumi wangu Baba
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Arushishe afya yangu Baba
(Ashuhudie nitendee muujiza ashuhudie)
Watch Video
About Nitendee Muujiza Ashuhudie
More SIFAELI MWABUKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl