MO MUSIC Umesahau cover image

Umesahau Lyrics

Umesahau Lyrics by MO MUSIC


Nafsi yangu imeikosa amani
Si mwingine ila ni wewe
Nafsi yangu imeikosa amani
Nikiwaza nikiwazu
Bado uko moyoni
Si mwingine ila ni wewe
Wa kunivika taji la ushindi
Na kunipa cheo cha ufalme

Baby ihh iyeah
Baby ihh iyeah
Unapokwenda pabaya
Tusije laumiana baadae
Ukaniona mbaya
Tulia tulia na uliyenaye
Umetuma SMS
Kwamba umenimiss miss me
Jua nakupenda ila nifanyeje
Baby yeaaahh

Umesahau
Uliposema unitaki
Umesahau
Penzi langu hulitambui
Umesahau
Eti mimi kapuku
Umesahau
Uliposema unitaki
Umesahau
Penzi langu hulitambui
Umesahau
Eti mimi kapuku
Umesahau
Leo nina nini
Unarudi…

 

Watch Video

About Umesahau

Album : UMESAHAU (Single)
Release Year : 2018
Added By : Afrika Lyrics
Published : Oct 14 , 2018

More MO MUSIC Lyrics

MO MUSIC
Eva
MO MUSIC
MO MUSIC
MO MUSIC

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl