Na Wewe Lyrics
...
Na Wewe Lyrics by MO MUSIC
Sikuhizi simuwazi, simmisi
Alonitesa mwanzoni simkumbuki
Nahisi raha zimezidi
Ulichonifanya unjua wewe, wewe
Kama ni rohoo
We ndo roho yangu
Umetawala akili
Hadi hisia zanguu
Kipendacho rohoo
We ndo roho yangu
Umetawala akili
Ya upendo wanguu
Hii njia sijapotea
Na kama ni kifo mi nizikwe
Na wewe
Mi nizikwe na weee
Na wewe
Mi nizikwe na weee
Unanipa majina yotee
Mi kwako si lolote
Hunipunji hata punje
Unanipa yote
Umenikolezaaa
Mwenzio hali mbaya
Usipokuepo karibu
Nakua sipo sawa
Nnauoga nnauogaa mwenzakoo
Usipokuepo karibu
Nakua sipo sawa
Nnauoga nnauogaa mwenzakoo
Usipokuepo karibu
Hii njia sijapotea
Na kama ni kifo mi nizikwe
Na wewe
Mi nizikwe na weee
Na wewe
Mi nizikwe na weee
Watch Video
About Na Wewe
More MO MUSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl