SHOMARI CHRYZO Salama Moyoni cover image

Salama Moyoni Lyrics

Salama Moyoni Lyrics by SHOMARI CHRYZO


whyShomari chryzo
Salama moyoni paroles
I take my later i bring to you, 
Kwani wewe watosha, 
Unajali hali mbovu yangu uuh. 
Huni sahau kamwe, 
Tatizo zangu zote napitia wa ona, 
Washuka pia watenda, 
Waonesha upendo kila siku kwangu mii
Waonesha upendo kila siku kwangu mii

Salama moyoni kua nawe ni salama 
Salama moyoni kua nawe ni salama 
Salama moyoni kua nawe ni salama 
Salama moyoni kua nawe ni salama 

Tell me why you love me so much ô god, 
Why you love me so much ?
Why you love me so much ?
Why you love me so much ?
Why you love me so much ?
My god you love me so much.
Wakati wa giza nakulilia wewe, 
Mwanga wako wani angazia, 
Wakati wa shida na kimbilia wewe, 
Kwa huruma wani saïdia. 
Maïsha yangu wayaona muhimu, 
Kupita ninavyo fikiria, 
Hujaniacha kwa raha na kwa tabuu, 
Njo maana naku tumaïnia. 
Oza yaya eh, et zambe, 
Oza pe yahwe nangaï yee. Oza yaya eh, 
Zambe yoza pe...

Salama moyoni kua nawe ni salama
Salama moyoni kua nawe ni salama
Salama moyoni kua nawe ni salama
Salama moyoni kua nawe ni salama
Salamaaa...
Salama moyoni kua nawe ni salama
Salama moyoni kua nawe ni salama
Salama moyoni kua nawe ni salama
Salama moyoni kua nawe ni salama
Tell me why you love me so much ô god,

Why you love me so much ? 
Why you love me so much ?
Why you love me so much ?
Why you love me so much ?
My god you love me so much.
You're my number one, my defender god, i
Will worship you in my life. 
You're the only one for me, 
You're the only one for me god.
 
Shomari chryzo parole

 You love me so much ? 

Watch Video

About Salama Moyoni

Album : Salama Moyoni (Single)
Release Year : 2021
Added By : Shomari Chryzo
Published : Feb 22 , 2021

More SHOMARI CHRYZO Lyrics

SHOMARI CHRYZO
SHOMARI CHRYZO
SHOMARI CHRYZO

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl