SHOMARI CHRYZO Nenda Ukapumzike cover image

Nenda Ukapumzike Lyrics

Nenda Ukapumzike Lyrics by SHOMARI CHRYZO


Aaàah Aaah

Tariki 25 ya mwezi wa 5
Mzee Manarha mwenye busara, ametuacha
Atuna mengi yaku sema, pumuzika salama
Atutoweza Ku sahau,mambo uliyo ya fanya
Pumuzika Salama

Ijapokua ume tuache, tuna imani kwamba tutaonana
Kwa Mungu Baba aliye mbinguni, tuna amini kwamba tuta onana
Kwa Yale mazuri uliyo fanya, tuna amini utavikwa taji ya uzima ah ah
Mahali pema nenda Ukapumzike
Papa Manarha nenda Ukapumzike

Umeondoka tutaku kumbuka (umeondokaa , tutaku kumbuka)
Kwa mazuri, uliyo ya fanya (Kwa mazuri hii)
Umeondoka, tutaku kumbuka ( umeenda baba, myoyo yetu ina umaa)
Kwa mazuri, uliyo ya fanya (kwa mazuri baba)
(familia inaliya watu wana liya baba)
Mahali pema nenda Ukapumzike
Papa Manarha nenda Ukapumzike (yee mahali pemaaa)

Mukubwa kwa mudogo wewe uliwasaidiya
Ulikua kimbilio cha wengi, nakuliya baba
Ulitufunza upendo we have seen love through you
We really love you uh
Eh baba, eh baba eh pumuzika Salama
Eh baba, eh baba eh pumuzika Salama

Baba yetu Manarha ametuacha
Moyoni tunabaki na machozi
Shuja ameondoka tena
Yupo pamoja na mwokozi

Kido ni fumbo kwa watu wote
kifo faida kwa mkristu
Twa farijika sisi sote, tutaonana baba yetu

Umeondoka tutaku kumbuka (umeondoka, Baba yangu baba ah)
Kwa mazuri, uliyo fanya (iyee iyee)
Umeondoka tutaku kumbuka (tutaonana, babaaa)
Kwa mazuri, uliyo fanya (iyee uko juu, uko juu tutaonana)
Mahali pema nenda Ukapumzike (iyee iyee iyee iyee)
Papa Manarha nenda Ukapumzike
(Papa, Baba yangu eehee , aaii)

Nilizaliwa unaniona, ukani komalisha ukanipa na JINA '’Majina’’
Nikifunga macho nakuona, roho unani uma
Upole wako hasilia, Mzee mwenye hekima
Papa Mbona kifo Cha Ivo ?
Nikifunga macho nakuona moyo unani uma
Umeondoka watu achia nani ?
Ataongoza familia ni nani ?
Nani mwengine atani ita '’Majina Chryzo'’ eeh ?
Eh Baba Mungu ona ata mema, aliyo fanya baba yangu miye
Na Nafsi yake uitunze vema, umu kumbuke
Aaah nenda eh, papa manarha nenda eh, nenda eh
Papa lala Eh, Papa Manarha lala, Eh lala Eh

Mahali pema nenda Ukapumzike
PAPA Manarha nenda Ukapumzike
Kwa Kweli wana sema kifo ni fumbo kwa watu wote
Lakini kwa sisi wa Kristo kifo ni faida kwa mkristo
Mambo ambayo uliyo Fanya Baba yetu
Ayata weza kutoka katika ya myoyo yetu
Atuna mengi yakusema katika siku ya leo
Basi tunaku takia nenda salama Baba yetu
Ule Mungu uliye fanyizia mema
Na amini ipo siku ataku vika Taji ya
Uzima nenda salama baba yetu

Watch Video

About Nenda Ukapumzike

Album : Nenda Ukapumzike (Single)
Release Year : 2023
Added By : Shomari Chryzo
Published : Jun 14 , 2023

More SHOMARI CHRYZO Lyrics

SHOMARI CHRYZO
SHOMARI CHRYZO
SHOMARI CHRYZO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl