OMBI LANGU Lyrics
OMBI LANGU Lyrics by SHOMARI CHRYZO
Baba, napiga goti langu,
Usiwape nafasi, adui zangu wanataka nife.
Ona, wanavyo nizihaki, wanitakia kifo,
Eh bwana wangu ma maneno wana nena yasini pate,
Mitego wanatega yasini nase,
Mkono unishike nisi anguke,
Nisi kate tamaa nawavyo nizihaki,
Eh bwana wangu ma maneno wana nena yasini pate,
Mitego wanatega yasini nase,
Mkono unishike nisi anguke,
Nisi kate tamaa ushindi wangu sifa nitakupa milele.

Daudi alisema, hajaona mwenye haki akiachiliwa,
Na mimi naliya njoo kwangu,
Uoneshe sina hatiya,
Vita sio vyetu ulisema wapigana mwenyewe,
Vita sio vyetu ulisema wapigana mwenyewe.
Nitaya inuwa macho nitazame milima,
Msaada wangu utatoka wapi miii,
Msaada wangu utatoka kwake bwana,
Asiuache mguu wangu bali anipiganiye vita na adui,
Nami nita imba sifa zake nikiwa salama,
Nami nita imba sifa zake nikiwa salama.
Rabi naliya, natembea nao shimu wani chimbia,
Wataka nianguke umo sina hatiya,
Nakosa laku sema huku navumilia.

Thanks, and God bless you!
Watch Video
About OMBI LANGU
More SHOMARI CHRYZO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl