Piga Luku Lyrics
Piga Luku Lyrics by RIX RORO
Dede Tarshian, Rix Roro
Mastar VK
Piga luku, piga looku
Piga looku ex askie uduu
Piga luku, piga looku
Piga looku ex askie uduu
Kaliniacha na utundu (Utundu)
Na sai kako kutu (Kutu)
kanadai nikabusu (Busu)
Lakini mi ni sugu (Sugu)
Manze hadi nadunga mangoto bila wire
Mavazi na bado niende nikivuta kaya
Kwa kazi niliacha kuteka hadi mamalaya
Madwanzi nawaacha wakichungwa wakigwaya
Ukitembea kwa maji watadhani ni Messiah
Na ukikata maji watasema eti ni Musa
Vipusa wakuje kujirusha
Mi hupendaga paka hata ka ni za sambusa
Piga looku mpaka Ex anaomba angenitunza
Ju sura imejikunja akiniona ati anavunja
Na ye ndo alinichuja
Kiburi mingi mingi unaeza dhani ni Kibunja
I hope amejifunza
Piga luku, piga looku
Piga looku ex askie uduu
Piga luku, piga looku
Piga looku ex askie uduu
Kaliniacha na utundu (Utundu)
Na sai kako kutu (Kutu)
kanadai nikabusu (Busu)
Lakini mi ni sugu (Sugu)
Piga looku mpaka ex askie uduu
Kwa kichwa ni madredi wanatuita tu watundu
Sisi si wa ngem ni wale wa kindukulu
Macho zimenyanya ziko dudu ni nyekundu
Lyrics zinakam tu haraka
Raia ishakubali na ni mbaya
Sai natafutwa na wamatha
Eti wanadai moja ya choir
Dem yako nitakurusha sitagwaya
Mrazi nitakutoka hizo waya
Vitu tumebeba si dikwara
Ni nare hatari ni mbaya
Piga luku, piga looku
Piga looku ex askie uduu
Piga luku, piga looku
Piga looku ex askie uduu
Kaliniacha na utundu (Utundu)
Na sai kako kutu (Kutu)
kanadai nikabusu (Busu)
Lakini mi ni sugu (Sugu)
Sura umechachisha marasa umejibeba
Ibaki ngwai we wakisha
Sunda kya kubeba mangeus wakijipa
We suka wa kukemba
Suka suka suka, msupa sunda chupa
Tupa lugha msupa sunda chupa
Suka msupa buda sunda chuma
Kula duka chupa si masuka
Ngwai mingi mingi, nimevuta ndo nimedi
Chupa za mizinga zimejaa kwa mandaki
Na sai niko depot nakuliwa makreti
Mamanzi nyi hurank wanakaa kuku za gredi
Piga luku, piga looku
Piga looku ex askie uduu
Piga luku, piga looku
Piga looku ex askie uduu
Kaliniacha na utundu (Utundu)
Na sai kako kutu (Kutu)
kanadai nikabusu (Busu)
Lakini mi ni sugu (Sugu)
Watch Video
About Piga Luku
More RIX RORO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl