Confam (Confirm) Lyrics
Confam (Confirm) Lyrics by RIX RORO
Super fine what a gwan, what a gwan
What's the riang figa yako ikon fyam
Kwa mbosho nimesota nina gefao
Ukinilenga siwezi lengwa na Kibao
Come closer mi nadai kukuconfirm
Kukuconfam, kukuconfam
Come closer mi nadai kukuconfirm
Kukuconfam, kukuconfam
Super fine what a gwan, what a gwan
What's the riang figa yako ikon fyam
Kwa mbosho nimesota nina gefao
Ukinilenga siwezi lengwa na Kibao
Come closer mi nadai kukuconfirm
Kukuconfam, kukuconfam
Come closer mi nadai kukuconfirm
Kukuconfam, kukuconfam
Mi napenda cheza kati kwanza nikiwa kati kati
Nimsota nina taki nimekukwachu niko lucky
Na nikiseti tire magizani utabaki
Fika tu na Jacky na usikuje na umati
Fyeka tukwela twa rangi ya thao
Futa kumbao matoto wa Sao
Kutekwa kuseswa kutokwa kwa grao
Praco double kwa table na mao
Ni kishash sio kinyaru mi hukivuta ngware tu
Jicho nyanya kama zombie mi hukuwa rada tu
Na msupa ukijipa mlele nitakutunza tu
Ndani ya keja hakuna amani daily ni manduru tu
Super fine what a gwan, what a gwan
What's the riang figa yako ikon fyam
Kwa mbosho nimesota nina gefao
Ukinilenga siwezi lengwa na Kibao
Come closer mi nadai kukuconfirm
Kukuconfam, kukuconfam
Come closer mi nadai kukuconfirm
Kukuconfam, kukuconfam
Figa yako sexy unanimada mami
Smile yako fine please be around me
Nimechizi for you to infinity
For me I want you to be my everything
In the evening be close to me
Everything you need you get from me
Ni ngori ujiexpress kilami
But si ngori kukuita my honey
Nakuspoil baby nikicoil dredi
Nikikuwatch closely ukiwhine slowly
Nikikushow all this mum see
Nimekuja kukuconfam
Nimekuja kuona kama unanifaham
Dede, Dede Tarshian
Super fine what a gwan, what a gwan
What's the riang figa yako ikon fyam
Kwa mbosho nimesota nina gefao
Ukinilenga siwezi lengwa na Kibao
Come closer mi nadai kukuconfirm
Kukuconfam, kukuconfam
Come closer mi nadai kukuconfirm
Kukuconfam, kukuconfam
Super fine what a gwan, what a gwan
What's the riang figa yako ikon fyam
Kwa mbosho nimesota nina gefao
Ukinilenga siwezi lengwa na Kibao
Come closer mi nadai kukuconfirm
Kukuconfam, kukuconfam
Come closer mi nadai kukuconfirm
Kukuconfam, kukuconfam
Watch Video
About Confam (Confirm)
More RIX RORO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl