Lawama Freestyle by REKLES Lyrics

After kuchoma nawekea madawa lawama
Na natoroka hata sipatikani nahama
Navuka border mpaka Kigali huko Rwanda
Nawakoroga tu kama ugali na gwara

Ukitaka beef itisha pia delivery ni free
Na na deal na dealersm territory bado ya ma G
Hii ni street ya killers hapa hakunaga bana peace
Sai ni bills nalipa hata kama sikuklipa fees

Obvious mi ndio mzii na we bado only shit kwa matako
Na wanakunywa na sitaki ata meza mi na guggle
Kombi moja mbaya kama dema na ovacado
Bado unakaa na dereva mi ushindaga na ma-pilot...

Music Video
About this Song
Album : Lawama Freestyle ,
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Ethic Entertainment.
Added By: Huntyr Kelx
Published: Mar 22 , 2020
More Lyrics By REKLES
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment
Top Lyrics


You May also Like


Download Mobile App

© 2020, New Africa Media Sarl

Follow Afrika Lyrics