Takapata Lyrics
Takapata Lyrics by RAPS
Yooooooh!
Madengu pon di case
Raps on this check it
Niko around maround mtaani
Kucheki raksada raksada
Fom fom ni ga gaks yani
Siku imekwa fine kwa mfuko na mapeni
Na sina ata deni fuliza na mshwari
Na on my way home napatana na ka shorri
Kubeba amebeba hadi anakaa amestunya
Naogopa joh kumkuta sura ameeka ya ukuta
Lakini hivyo ameiva mimi huyo kumkuta
Niaje pretty girl girl waitwa nani girl girl
Sjaikucheki around design umeiva girl girl
Pretty baby face, dimple on her face
Long narrow neck, small little head
Nakutaka weh tu sitaki watu
Ju hamwezi kuwa two labda mi na weh tu
Nakupeleka kwetu ujue watu wetu
Ndo ujue ni weh tu ndo uamini ni weh tu
Ju Sabina simtaki Joy simtaki
Sabinajoy haunipati kwa party haunipati
Me just wanna call you my loving honey
Fi di rest of my life honey bunny
Ju Sabina simtaki (yeah) Joy simtaki (yeah)
Sabinajoy haunipati kwa party haunipati
I jus wanna call you my loving honey
Fi di rest of my life honey bunneeee!!!!
Ju nakutakataka taka(Sanaaaa)
Nikikupatapata pata(Siezi kuwacha!)
Ju nakutakataka taka(Sanaaaa)
Nikikupatapata pata(Siezi kuwacha!)
Ju nakutaka taka (yeah)
Taka taka (yeah)
Taka taka(Sanaaa)
Nikikupata pata (yeah)
Pata pata (yeah)
Pata pata Siezi kuwacha!
Urembo wako joh ni burden (yeah)
Uskii hauko ndethe na na-harden
Natamani nitembelee hiyo garden
Ni hijack niilipue ka Bin Laden!
Ju ju kunavile weh hu-cause damage
Kwa brain yangu ka ile movie ya Rampage
I hope uko na nguvu ya kuni-manage
Ju game yangu maithaa hukua savage
Huh! Nashuku unatoka ubabini
Ju kila photo yako umedunga bikini
Kwanza twende hivi nikuamulie konyagi
Na usiseme hizo ni vitu hukunywangi(Alaa!)
Napenda vile unakanyaga
Ukienda nika unarudi hizo haga
Hapa kwanza itabidi ni shukuru Jah Jah
Vile alikuumba hapo nyuma alijaza
Na sa ushajua nakukatia
Cheza chini ataka nakukatsia
Stori za chali yako kwanza kanyagia
Ju utamtoka ukionja hi 'mkia'(Yeah)
Na ju Sabina simtaki Joy simtaki
Sabinajoy haunipati kwa party haunipati
I jus wanna call you my loving honey
Na ukinipea hiyo.... hahaaaa
Ju nakutakataka taka(Sanaaaa)
Nikikupatapata pata(Siezi kuwacha!)
Ju nakutakataka taka(Sanaaaa)
Nikikupatapata pata(Siezi kuwacha!)
Ju nakutaka taka (yeah)
Taka taka (yeah)
Taka taka(Sanaaa)
Nikikupata pata (yeah)
Pata pata (yeah)
Pata pata, siezi kuwacha!
Ju nakutakataka taka
Nikikupatapata pata
Ju nakutakataka taka
Nikikupatapata pata
Ju nakutaka taka
Taka taka
Taka taka(Sanaaa)
Nikikupata pata
Pata pata
Pata pata, siezi kuwacha!
Watch Video
About Takapata
More RAPS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl