Baby Lyrics by PLATFORM


Amesha choshwa na kulizwa na mapenzi hayaamini tena
Ameipoteza furaha na wanadamu kwake hawana jema
Heee, kusema ni pretend siwezi
Mi kwako nime falling in love
Ujenge wote mji mwema wa mapenzi
I wanna give you good good love
Kuficha ficha nimeshindwa siwezi
I real want you be my love
I need you time and attention to show you
The real meaning of love love
Nafasi ukinipa utanenepa  niamini mi mapenzi ndio yataongea
Tena naweka na nukta mabegi nashusha
I real wanna love ya

Oh baby, oh baby
Oh baby, oh baby
Oh baby, oh baby
Oh baby, oh baby

Ni sawa yamekuumiza ila haimaanishi nitakuliza mwaya
Kila mwanadamu na hurka zake
Usije waza kuja kulipiza ukanitesa nisie na hatia mwaya
Kila mwanadamu mapungufu yake
Kivipi nikuen joy na kukuona toi eti nicheze na hisia zako wewe
Me kwako sina mpango wa kando ninachotaka ni mapenzi yako
I know you don’t believe
In love, in love, in love
I go make you believe
In love, in love enough
Ooh I swear nafasi ukinipa
Utanenepa niamini mi mapenzi ndio yataongea
Tena naweka na nukta mabegi nashusha
I real wanna love ya

Oh baby, oh baby    
Oh baby, oh baby
Oh baby, oh baby
Oh baby, oh baby

Watch Video

About Baby

Album : Baby (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Jul 12 , 2022

More PLATFORM Lyrics

PLATFORM
PLATFORM
PLATFORM
PLATFORM

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl