Chombo Chako Lyrics
Chombo Chako Lyrics by PAULO SIRIA
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na giza niletee mwanga
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na chuki nipande upendo wa agape
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na huzuni niletee furaha yako
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na ugomvi niletee amani yako
Mungu anasema
Mungu akuita mwenye kiburi
Kuwapa wanyenyekevu neema
Ndugu amini sasa Mungu yupo
Kuliko useme kwamba Mungu hayuko wewe
Alafu ufe ukakutane naye
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na giza niletee mwanga
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na chuki nipande upendo wa agape
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na huzuni niletee furaha yako
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na ugomvi niletee amani yako
Watu wa Mungu kuokoka haitoshi
Sasa si pitisha wokovu wako
Imani bila maneno imekufa
Soma Yakobo mbili kumi na nne
Yafaa nyinyi mtubu sema na imani
Lakini ana matendo imekufa iyo
Tafadhali wewe
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na giza niletee mwanga
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na chuki nipande upendo wa agape
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na huzuni niletee furaha yako
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na ugomvi niletee amani yako
Amini amini nawaambia
Amani ya kweli iko kwa Yesu
Kule kwa waganga hakuna amani
Ni mateso tupu na mahangaiko
Amani kwa Yesu, upendo kwa Yesu
Kimbia haraka upate kupona
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na giza niletee mwanga
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na chuki nipande upendo wa agape
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na huzuni niletee furaha yako
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na ugomvi niletee amani yako
Ni kweli kabisa we umeokoka
Au unajitahidi kumzalia Mungu matunda
Lakini tatizo lako hauna upendo
Soma nami Timotheo tano nane
Asiyewatunza wa nyumbani wake
Ni mbaya kuliko asiye amini wewe
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na giza niletee mwanga
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na chuki nipande upendo wa agape
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na huzuni niletee furaha yako
Eeh Mungu nifanye chombo chako
Palipo na ugomvi niletee amani yako
Eeh Baba chana wivu shusha neema yako
Eeh Baba chana wivu shusha neema yako
Eeh Baba chana wivu shusha neema yako
Eeh Baba chana wivu shusha neema yako
Watch Video
About Chombo Chako
More PAULO SIRIA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl