Kokoto Lyrics
Kokoto Lyrics by GOLDEN DEE
[VERSE 1]
Everybody biz bad yo
Mtoto mzuri yani mkalio
Niki mshika shika kalio
Taratibu kana inama
Katoto ngozi laini shep ya Mobeto
Shida natupa chini Mbuzi kafia geto
Nikigonga msumari
Kana tema cheche ka somali
Yani balaa karamba eeh
Mchek alivyyo ramba karamba eeh
Asa fanya wainama
[CHORUS]
Kokoto kokoto ainamae
Kokoto kokoto inamae
Kokoto kokoto ainamae
Kokoto kokoto inamae
[VERSE 2]
Ana mwendo wa maringo mtoto fundi
Kitandani
Kanavyo pekecha urimbo hali yangu
Mi taabani
Kana sehep la kichina
Kame niteka mtima
Penzi nakatia bima
Inama nisimame wima
Nikigonga msumari
Kana tema cheche ka somali
Yani balaa karamba eeh
Mchek alivyyo ramba karamba eeh
Ainamae inamae ainamae inama
[CHORUS]
Kokoto kokoto ainamae
Kokoto kokoto inamae
Kokoto kokoto ainamae
Kokoto kokoto inama
[VERSE 3]
Nime mpata pacha
Nime mpata twin waku
fanana nayeye
Kwenye godoro kutwa tuki roll
Ndani mimi na yeye
Ananifanya mipango naipangua
Nikitibu kaugonjwa anatibua
Baby yoyo mi naugua
Kwako wewe tuu mi ugua eeh,
Kababy hakana mapepe
Tunavyo pembua mchele
tuna upepeta wawili
Natena hakana mchecheto
Kame nifungia break nisi
wachekeshe wengine
Watu wawawa watu weweweeh,
Ame nishika nisi ongee ongee
Watu wauwa uwa watu weweweeh,
yani me na wee
[CHORUS]
Kokoto kokoto ainamae
Kokoto kokoto inamae
Kokoto kokoto ainamae
Kokoto kokoto inamae
Watch Video
About Kokoto
More GOLDEN DEE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl