Kukanyagana Lyrics by PADI WUBON


Kama ni pombe ni pesa yangu
Kama ni bangi sijavuta leo
Bibi ya mtu sijawahi guza
Corporal one question?

What have I done?
Unauliza nani?
Nimefanya nini?
Utajulia mbele

I know my rights
Usipige kelele
You know I know people
Mahabusu yote husema hivyo

What have I done?
Bado unauliza?
Nimefanya nini?
Bado hujajua 

I know my rights
Bado we napiga kelele
You know I know people
Aii we ni mahabusu tu

Mmeniarrest, mmeniharass
Mmenithreaten I'm not shaken
Unajua Uhuru? Ile ya 1964?
Unajua baba? Baba ya nani?

Taja hata William, huyo simjui
So whats your point? utaachishwa kazi
Unajua shida yako unalewa mchana
Unapiga stagger kusumbua wasichana

We ni kama umefungiwa pombe na Magufuli
Si uko na mhogo unachimba ndogo ndogo
Ndogo ndogo myb foot, umenipatia mhogo?
Hujalipia rent, unanipunguzia steam

Steam ooh unajiona gari ya moshi?
Kazi ni kukanyangana
Acha nikufungulie mashtaka
Kuja hapa kuja hapa, kuja hapa

One question?
What have I done?
Unauliza nani?
Nimefanya nini?
Utajulia mbele

I know my rights
Usipige kelele
You know I know people
Mahabusu yote husema hivyo

What have I done?
Bado unauliza?
Nimefanya nini?
Bado hujajua 

I know my rights
Bado we napiga kelele
You know I know people
Aii we ni mahabusu tu wewe

Sasa raia tusipoteze wakati
Umekanyagana leo, Kanyaga nini tena?
Umekanyagana leo, eeh nimekanyagana
Mimi simamilia pandilia nishindilia

Unakubali mashtaka? Nakubali mashtaka
Whatever yo say will be used against you
Ulikanyaga saa ngapi? Saa sita
Ulikuwa na nani? Officer I know my story better

Cheki maneno, nilianza kumda - ndanganya
Nikamshika mati- material
Alikuwa amebeba mata - matambara
Officer ata wewe unaweza mto - mtolerate

Hapana hapana hapana hii siwezi tolerate
Na ako na sister, nataka tuwakill
Eey na we ni mwanaume
Lakini yaani unakanyaga hii
Na bado unakanyaga ndogo ndogo
Kabisa! We kuja hapa
Lazima utalala ndani

Corporal one question?
What have I done?
Unauliza nani?
Nimefanya nini?
Utajulia mbele

I know my rights
Usipige kelele
You know I know people
Mahabusu yote husema hivyo

What have I done?
Bado unauliza?
Nimefanya nini?
Bado hujajua 

I know my rights
Bado we napiga kelele
You know I know people
Aii we ni mahabusu tu wewe

Unanishika ju ya? Kukanyangana 
Unanishika ju ya? Kukanyangana 
Unanishika ju ya? Kukanyangana 
Unanishika ju ya? Kukanyangana

Unanishika ju ya? Kukanyangana 
Unanishika ju ya? Kukanyangana 
Unanishika ju ya? Kukanyangana 
Unanishika ju ya? Kukanyangana

Watch Video

About Kukanyagana

Album : Kukanyagana (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Aug 28 , 2020

More PADI WUBON Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl