Kong'o Lyrics
Kong'o Lyrics by OCHUNGULO FAMILY
Aki wewe nipitishie tambla eeh
Nipitishie tambla
Aki wewe nipitishie tambla eeh
Nipitishie tambla
(Hitman ting, Hitman ting)
Man ah bad man ting
Wapi eeeh?
Wapi dadake dadake aje hapa
Nimpakate
Wapi eeh?
Auuuuwiii...Kong'o!
Zangu zimeshika niko ng'ang'o!
Aiyayayayayaya...Kong'o!
Zangu zimeshika niko ng'ang'o!
Ma ong'ong'o, ma ong'ong'o
Zangu zimeshika niko ng'ang'o
Ma ong'ong'o, ma ong'ong'o
Zangu zimeshika niko ng'ang'o
Ongeza tembe Fatuma akule mb**
Nakanyonya kanyonya kiroboto
Funika senye ghetto mabati ni usoro
Pace konokono bila nyoko nyoko
Konyagi kotokoto dry pewa joto
Shingo ni kisling ndole ni kingoto
Mutheru kwa nguo ya kuchapa tu mboto
Team Kibao kishash msokoto
Ayayaya pori tu ni makong'lo
Kimangoto kidosho apewe kong'lo
Kocho kocho gonglo gonglo
Kuandika kwa kitabu ni toka Kong'los
Wapi eeeh?
Wapi dadake dadake aje hapa
Nimpakate
Wapi eeh?
Auuuuwiii...Kong'o!
Zangu zimeshika niko ng'ang'o!
Aiyayayayayaya...Kong'o!
Zangu zimeshika niko ng'ang'o!
Ma ong'ong'o, ma ong'ong'o
Zangu zimeshika niko ng'ang'o
Ma ong'ong'o, ma ong'ong'o
Zangu zimeshika niko ng'ang'o
Usijione simba na unaogopa burukenge
Ma waggydo za ghetto ndo zinajua unenge
Kondiko za ghetto huwezi kata ata na wembe
Na gushodo wa ghetto hatambui para za matembe
Jaba na ki Krest niko lembe
Kanjoti mdogo mdogo na i-peel ka maembe
Zangu zinikembe, nilole kamayai zinishow iko na pembe
Inafanana na malenge jo itabidi niperembe
Kaende kaende
Manoti mbichi zinakaa tikiti za Reggea
Ndo venye daily inapitia pori za wagenge
Wanyonye wanyonye kama peremende
Wapi eeeh?
Wapi dadake dadake aje hapa
Nimpakate
Wapi eeh?
Auuuuwiii...Kong'o!
Zangu zimeshika niko ng'ang'o!
Aiyayayayayaya...Kong'o!
Zangu zimeshika niko ng'ang'o!
Ma ong'ong'o, ma ong'ong'o
Zangu zimeshika niko ng'ang'o
Ma ong'ong'o, ma ong'ong'o
Zangu zimeshika niko ng'ang'o
Brikicho banture, brikicho banture
Ochungulo wacha! Ochungulo wacha!
Ochungulo what a gwan? What a gwan?
Brikicho banture, brikicho banture
Ochungulo wacha! Ochungulo wacha!
Ochungulo what a gwan? What a gwan?
Auuuuwiii...Kong'o!
Zangu zimeshika niko ng'ang'o!
Aiyayayayayaya...Kong'o!
Zangu zimeshika niko ng'ang'o!
Ma ong'ong'o, ma ong'ong'o
Zangu zimeshika niko ng'ang'o
Ma ong'ong'o, ma ong'ong'o
Zangu zimeshika niko ng'ang'o
Aki wewe nipitishie tambla eeh
Kong'o!
Aki wewe nipitishie tambla eeh
Kong'o!
Aki wewe nipitishie tambla eeh
Kong'o!
Aki wewe nipitishie tambla eeh
Man ah badman Kong'o!
Watch Video
About Kong'o
More OCHUNGULO FAMILY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl